Hii ni mbaya sana kwa malezi ya watoto ,mkiwa na familia mnatazama taarifa ya habari kwenye Tv mara ghafla katikati ya yaarifa yanaibuka..matangazo ya pombe ,HUWA nabadilisha fasta ,na kuwambia watoto wasitazame mambo ya shetani.
KWA UJUMLA KTELEVISHENI TV NYUMBANI NI BOMU KUBWA KATIKA MALEZI YA WATOTO.
Maudhui yanayorushwa kwenye vipindi hata vya watoto katuni za watoto,na tamthilia sinema ,nyimbo n.k..kuna nguvu ama roho za giza zinaweza kuwapata watoto kupitia IBADA au MASOMO wanayoyapata KUPITIA MAUDHUI wanayotazama kwenye TV
Madhara ni makubwa katika ulimwengu wa KIROHO kudhihirika katika kimwili kimaadili.
Watu wa Mungu walezi na wazazi hii ni chamgamoto..Tuwaelimishe watoto waelewe mabaya na mema,na athari zake ,wajue mambo mema yanayompendeza Mungu na yale mambo maovu ya adui yao Shetani anayoyaleta katika utandawazi kama Tv ili kuwanasa ROHO za watoto kuwapeleka kutenda dhambi ,mawazo machafu,tabia mbaya ili wamkosee Mungu na wapotee waharibikiwe mwisho waende MOTONI.
watoto wachukie mambo ya shetani wachukie dhambi na wjue madhara yake,wampende Mungu na kumtii.
Wajue kusali na njia za Mungu ingali wadogo wajue mitego yote ya shetani,wajue kuomba kusali ,ibada,