Aaah bahati nzuri sina wadogo wa umri huo ila Nina watoto wa umri huo,ngoja waje wenzako mnaofanana wakujibu
Pale unaporudi nyumbani baada ya mihangaiko yako ya siku na kumkuta mdogo wako (tumbo moja, baba moja) akiangalia Tv sebuleni na kumuuliza aliko mtoto, naye kukujibu kuwa yuko chumbani! Unaingia chumbani, unamkuta mtoto yuko hivi! Utafanyaje??
Mtoto wako ana jina zuri...BabyBrianMimi siku nikijua mwanangu brian anateswa na house girl au ndugu yeyote, njooni mnisalimie segerea.. maana kama kuna kitu chochote pembeni nitamuua nacho huyo mtu alionitesea mwanangu. I swear sewezi vumilia hata sekunde.
ahsante..Mtoto wako ana jina zuri...BabyBrian