Kipodozi kimewekwa kando, tutaona rangi yake halisi.Kweli siyo pazuri ni kuomba tu Mungu mwendo tuumalize salama
We acha tu! Yaani hawa akina nyanzobe wanatuzuzua na turangi twao tunawaona wamana kumbe....Inamaana huku mtaani wanawake wengi wanaotesa roho zetu ni mitumba kwisha kazi Ila vipodozi na perfume ndio vinafanya tunawakosea wake zetu adabu.
Hawa mbona ni watu tofauti. Ndugu mleta mada, umejiridhisha kuwa ndiye Zumaridi wa kwenye picha hapo juu?Yule Mfalme Zumaradi kipindi kile unaweza kusema ni rika ya kina dada umri fulani
View attachment 2219360
View attachment 2219361
View attachment 2219362
Wale wajinga zake wanaorusha miguu kama Jet Lee wameenda wapi?Yule Mfalme Zumaradi kipindi kile unaweza kusema ni rika ya kina dada umri fulani
View attachment 2219360
View attachment 2219361
View attachment 2219362
Siku hizi hadi wanapiga puti nyuso zao! Ni balaa tupuInamaana huku mtaani wanawake wengi wanaotesa roho zetu ni mitumba kwisha kazi Ila vipodozi na perfume ndio vinafanya tunawakosea wake zetu adabu.
Anashitakiwa kwa kesi ganiKwani hajapata dhamana
Kusafirisha binadamu na kuzuia makamanda kufanya kazi yao..anashitakiwa kwa kesi gani
We acha tu!Yaani hawa akina nyanzobe wanatuzuzua na turangi twao tunawaona wamana kumbe....


si mnatukimbia sisi natural creatures ngoja mnyooshweAiseee..
Akili zitamrudi..
Hakuna askari hatari kama askari magereza, hata ukiwa komando, hata ukiwa Rais ukipelekwa kule ukiitwa jina lako unainama kidogo kisha unajibu 'Naam bwana mkubwa..



Sionagi sababu ya kufatilia mambo ya mtu na kupoteza muda kufikiri mambo yanguYule Mfalme Zumaradi kipindi kile unaweza kusema ni rika ya kina dada umri fulani
View attachment 2219360
View attachment 2219361
View attachment 2219362