Jela Miaka 20 kwa kuiba nguzo tatu za umeme

Jela Miaka 20 kwa kuiba nguzo tatu za umeme

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Ezbon Mujuni (28) mkazi wa kijiji cha Bunazi Wilaya ya Missenyi Mkoa wa Kagera amehukumiwa kwenda jela miaka 20 kwa kosa la kuchimba na kuiba nguzo 3 za umeme na nyaya zenye thamani ya Tsh. 11,536,357

Mshtakiwa alitenda kosa hilo Julai 21, 2024 katika kijiji cha Nyakahama Wilaya ya Muleba Mkoani Kagera na kukamatwa na Jeshi la Polisi na kufikishwa Mahakamani Disemba 20, 2024

Hukumu imetolewa jana Julai 15, 2025 mbele ya Daniel Nyamkerya ambaye ni Hakimu wa Mahakama ya Wilaya ya Muleba

jelaaaa.png

Chanzo: EAST AFRICA TV
 
Back
Top Bottom