Dhehebu ni 'watchtower' au Mashahidi wa Jehova, ambao wanachapisha vipeperushi vyenye jina watchtower?Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo baada ya kugoma Watoto wao wenye umri kati ya miezi 9 hadi 59 wasipewe chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela wakidai chanjo sio maagizo ya Mungu.
Hukumu hiyo imetolewa February 26,2024 na Mahakimu wa Mahakama hiyo Elis Mkama na Suzy Mkinga kwa Washtakiwa hao ambao ni Abiniel Isaya (27), Misheck Simon (28), Isack Simon (26), Yona Simon (30), Efeso Peter (28), Job Simon (36) na Joshua Meshack (40)
Akitoa taarifa kuhusu hukumu hiyo leo February 27, 2024, RPC wa Rukwa, Shadrack Masija amesema chanjo hiyo ilikuwa ikitolewa na Wizara ya afya katika Kijiji hicho February 18, 2024, ambapo sababu ya kugomea ni imani ya dini yao ya Kanisa la Watchtower kwamba chanjo sio maagizo ya Mungu.
RPC Masija mesema “Kugomea chanjo inayoelekezwa na Serikali ni kufifisha juhudi za Serikali za kupambana na maradhi hivyo amewahimiza Wananchi wazingatie maagizo na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na Serikali na wazitii Mamlaka za Serikali kwani zimewekwa na Mungu ambaye ndiye wote tunamwabudu”
CREDIT: MILLARD AYO
View attachment 2918605
Ndio hao haoDhehebu ni 'watchtower' au Mashahidi wa Jehova, ambao wanachapisha vipeperushi vyenye jina watchtower?
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
Katika huduma za kitabibu, kuna Uhuru wa kukataa matibabu, ila unakiri kimaandishi kukataa hiyo huduma. Wangehukumiwa pale ambapo, kuna madhara kwa wale waliokosa huduma kutokana na maamuzi yao.Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo baada ya kugoma Watoto wao wenye umri kati ya miezi 9 hadi 59 wasipewe chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela wakidai chanjo sio maagizo ya Mungu.
Hukumu hiyo imetolewa February 26,2024 na Mahakimu wa Mahakama hiyo Elis Mkama na Suzy Mkinga kwa Washtakiwa hao ambao ni Abiniel Isaya (27), Misheck Simon (28), Isack Simon (26), Yona Simon (30), Efeso Peter (28), Job Simon (36) na Joshua Meshack (40)
Akitoa taarifa kuhusu hukumu hiyo leo February 27, 2024, RPC wa Rukwa, Shadrack Masija amesema chanjo hiyo ilikuwa ikitolewa na Wizara ya afya katika Kijiji hicho February 18, 2024, ambapo sababu ya kugomea ni imani ya dini yao ya Kanisa la Watchtower kwamba chanjo sio maagizo ya Mungu.
RPC Masija mesema “Kugomea chanjo inayoelekezwa na Serikali ni kufifisha juhudi za Serikali za kupambana na maradhi hivyo amewahimiza Wananchi wazingatie maagizo na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na Serikali na wazitii Mamlaka za Serikali kwani zimewekwa na Mungu ambaye ndiye wote tunamwabudu”
CREDIT: MILLARD AYO
View attachment 2918605
Nakubaliana nawe, ni njia ya kutisha watu wasiwe na uhuru wa Imani zao kama ilivyoainishwa na katiba.Nataka kifungu cha Sheria kinachompa hakimu ruhusa ya kumfunga mtu anayegomea chanjo.
Hao walikuwa wanawavizia kitambo, chanjo ilikuwa chambo tu
Kesi ya Mauaji ya watoto wadogoNataka kifungu cha Sheria kinachompa hakimu ruhusa ya kumfunga mtu anayegomea chanjo.
Hao walikuwa wanawavizia kitambo, chanjo ilikuwa chambo tu
Kifungu gani cha sheria wamehukumiwa nacho?Watu saba wote Wakazi wa Kijiji cha Kalambo Wilaya ya Kalambo Mkoani Rukwa, wamehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja Jela kila mmoja na Mahakama ya mwanzo Wilaya ya Kalambo baada ya kugoma Watoto wao wenye umri kati ya miezi 9 hadi 59 wasipewe chanjo ya ugonjwa wa Surua na Rubela wakidai chanjo sio maagizo ya Mungu.
Hukumu hiyo imetolewa February 26,2024 na Mahakimu wa Mahakama hiyo Elis Mkama na Suzy Mkinga kwa Washtakiwa hao ambao ni Abiniel Isaya (27), Misheck Simon (28), Isack Simon (26), Yona Simon (30), Efeso Peter (28), Job Simon (36) na Joshua Meshack (40)
Akitoa taarifa kuhusu hukumu hiyo leo February 27, 2024, RPC wa Rukwa, Shadrack Masija amesema chanjo hiyo ilikuwa ikitolewa na Wizara ya afya katika Kijiji hicho February 18, 2024, ambapo sababu ya kugomea ni imani ya dini yao ya Kanisa la Watchtower kwamba chanjo sio maagizo ya Mungu.
RPC Masija mesema “Kugomea chanjo inayoelekezwa na Serikali ni kufifisha juhudi za Serikali za kupambana na maradhi hivyo amewahimiza Wananchi wazingatie maagizo na maelekezo mbalimbali yanayotolewa na Serikali na wazitii Mamlaka za Serikali kwani zimewekwa na Mungu ambaye ndiye wote tunamwabudu”
CREDIT: MILLARD AYO
View attachment 2918605
Serikali zote zinawaogopa watu wanaomwabudu Mungu kwa u serious bila kujali dini yao.Nakubaliana nawe, ni njia ya kutisha watu wasiwe na uhuru wa Imani zao kama ilivyoainishwa na katiba.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
We ni babu la wapumbavu. Wakatie rufaa. Bwege kweli.Nataka kifungu cha Sheria kinachompa hakimu ruhusa ya kumfunga mtu anayegomea chanjo.
Hao walikuwa wanawavizia kitambo, chanjo ilikuwa chambo tu
Huu ndio ukweliSerikali zote zinawaogopa watu wanaomwabudu Mungu kwa u serious bila kujali dini yao.
Mtu yeyote aliye serious na Imani yake anaweza kuikosoa serikali muda wowote akaharibu hali ya hewa.
Serikali inapenda wachungaji wazinzi, masheikh ubwabwa na mapadre wazinzi ambao kazi yao kubwa ni kuipongeza serikali
Sio kweliNakubaliana nawe, ni njia ya kutisha watu wasiwe na uhuru wa Imani zao kama ilivyoainishwa na katiba.
Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
ulishawahi sikia kesi ya hospitali ya bichi pale mbezi.....?Kesi ya Mauaji ya watoto wadogo
Watoto hawajagoma bali wao watu wazima wanazuia haki ya mtoto kuishi kwa kuchanjwa kuzuia asipate maradhi ya kumuua ndio wanashinikiza watoto wasichanjwe ili wafe
Huyo hakimu kawapa adhabu ndogo sana Serikali ikate rufaa wapewe hukumu kubwa zaidi
Kama hawakutumia kifungu cha sheria basi wakikata rufaa wanatoka na wanadai fidiaWaliowashtaki wanadai eti wanafifiza jitihada za serikali.
Soma Public Health act ya TanzaniaSerikali zote zinawaogopa watu wanaomwabudu Mungu kwa u serious bila kujali dini yao.
Mtu yeyote aliye serious na Imani yake anaweza kuikosoa serikali muda wowote akaharibu hali ya hewa.
Serikali inapenda wachungaji wazinzi, masheikh ubwabwa na mapadre wazinzi ambao kazi yao kubwa ni kuipongeza serikali
Sio tu jitihada za serikali ni kulinda haki za mtoto na haki ya mtoto kuishi bila maradhi hayo ya kuepukwa kwa chanjoWaliowashtaki wanadai eti wanafifiza jitihada za serikali.
Kuna maamuzi binafsi lakini ogopa kufanya maamuzi juu ya mtu mwingine mfano kuzuia mtoto asipate chanjo kitu ambacho ni hatari kwa Maisha yake mtoto ni kuyaweka Maisha ya mtoto hatariniKila mtu abaki na maamuzi yake ,kosa ni kuhamasisha ila kama hawajafanya hivyo, basi ni uonevu.