Jela au Magereza isikie kwa Jirani. Jela hakufai

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Wanabodi, Usichanganye kukaa Jela na kukaa Mahabusu
Mahabusu una muda hata wa kupiga stori na kuwa na Imani kuna siku mambo yatakaa sawa, Jela sio rahisi hivyo akili inakuruka ghafla na unapata ukichaa wa muda kwenye mazingira yale

Jela Unaanza maisha ukiwa ndani ya uniform za jela

Nilikaa Jela siku nne niliona kama nimekaa mwaka.Mambo ya siku nne tu si mchezo mchezo. Niliingia jela mchana wa saa saba nikapatwa na haja ghafla, Nikaletewa ndoo ya kujisaidia, Ni ndoo chafu huwezi kuangalia mara mbili hiyo ndoo ukiwa ndio siku ya kwanza huwezi kula tena

Jela hakuna huruma, Unakutana na mtu ana kusimulia habari zake za mauaji na ujambazi kama jambo la kawaida, Ukimuangalia mtu anatisha kila sehemu ya mwili amejaa vidonda na ananuka, Kumbuka huyo ndio jirani yako na mmepangiwa cello moja na utaishi nae kwa muda

Jela kuna kila aina ya magonjwa ambayo mtu asiyefika hawezi kuelewa hili ninaloongea, Hata ukifanikiwa kutoka jela unarudi uraiani ukiwa dhaifu sana na ni rahisi
kuondoka mapema kutokana na magonjwa ya kuambukiza toka jela

Tumuonee huruma Sabaya, Kuna wakati ukizuka ugonjwa wa mlipuko jela mfano kipindupindu au TB inakuwa ni vifo na kumbakumba, Jela ni hatari

Kuna Jela na Magereza, Ukisikia Jela ni jela kweli, Haya ni magereza ya Kilimo, Huko kuna Mateso magumu sana, Unalima mpaka mikono inapasuka. Ukikosea kulima kwa mistari utapigwa fimbo na Manyampala kama Mbwa koko
Huko ni kazi na Kipigo tu

Hayo ya Keko na Segere ni magereza siyo jela hizo. Jela zipo huko Njombe, Mbeya, Ruvuma kitai Mbinga. Ni balaa

Waliokaa zaidi ya mwaka huko na wakatoka watakuwa na mengi ya kusimulia
 
Zaidi ya kuvamiwa na mtu mwenye silaha na gari namba za umoja wa mataifa, na mabaunsa, anakupora hela milioni 100, anakugongea mke ukiwa unaona , na kukupa kipigo?

Anaita wandishi habari anasema umengoa reli ya Moshi-Arusha alafu Mkurugenzi wa TRC anakanusha reli kungolewa kisa alimfuata Ibra line na Machame Safari kudai apewe hela na hakupewa? wewe unafurahia hilo?
 
Ukishayajua hayo usifanye ukorofi
Mkuu Mimi nilimgonga mtu na gari, Majibu yangu ya kiburi nikiwa mahabusu polisi na kujiamini yalinigharimu sana. Ningeweza kumaliza mambo nikiwa mahabusu polisi ili ilikuwa ni ule wakati unajua Mimi nani?

Baadae kesi ilinigeuka vibaya sana, Bila msaada wa mabosi wangu na watu wa karibu kuokoa jahazi
 
Wanabodi, Usichanganye kukaa Jela na kukaa Mahabusu
Mahabusu una muda hata wa kupiga stori na kuwa na Imani kuna siku mambo yatakaa sawa, Jela sio rahisi hivyo akili inakuruka ghafla na unapata ukichaa wa muda kwenye mazingira yale

Jela Unaanza maisha ukiwa ndani ya uniform za jela

Nilikaa Jela siku nne niliona kama nimekaa mwaka.Mambo ya siku nne tu si mchezo mchezo. Niliingia jela mchana wa saa saba nikapatwa na haja ghafla, Nikaletewa ndoo ya kujisaidia, Ni ndoo chafu huwezi kuangalia mara mbili hiyo ndoo ukiwa ndio siku ya kwanza huwezi kula tena

Jela hakuna huruma, Unakutana na mtu ana kusimulia habari zake za mauaji na ujambazi kama jambo la kawaida, Ukimuangalia mtu anatisha kila sehemu ya mwili amejaa vidonda na ananuka, Kumbuka huyo ndio jirani yako na mmepangiwa cello moja na utaishi nae kwa muda

Jela kuna kila aina ya magonjwa ambayo mtu asiyefika hawezi kuelewa hili ninaloongea, Hata ukifanikiwa kutoka jela unarudi uraiani ukiwa dhaifu sana na ni rahisi
kuondoka mapema kutokana na magonjwa ya kuambukiza toka jela

Tumuonee huruma Sabaya, Kuna wakati ukizuka ugonjwa wa mlipuko jela mfano kipindupindu au TB inakuwa ni vifo na kumbakumba, Jela ni hatari

Kuna Jela na Magereza, Ukisikia Jela ni jela kweli, Haya ni magereza ya Kilimo, Huko kuna Mateso magumu sana, Unalima mpaka mikono inapasuka. Ukikosea kulima kwa mistari utapigwa fimbo na Manyampala kama Mbwa koko
Huko ni kazi na Kipigo tu

Waliokaa zaidi ya mwaka huko na wakatoka watakuwa na mengi ya kusimulia
Ndio maana tukiwa uraiani tujitahidi kufuata sheria na tutimize wajibu wetu inavyotakikana.

Jela uende kwa kusingiziwa au bahati mbaya lakini sio kwa kiburi cha Sabaya.Asiyefunzwa na wazazi hufunzwa na Ulimwengu ,au unakuta labda alionywa na wazazi ila jeuri imemponza.

Wakati mwingine ni afadhari vetting za hulka na tabia ziwe zinafanywa kabla ya kuwapa watu madaraka mtu kama Makonda,Sabaya au Mkuu aliyepita ni watu hawakufaa kuwa na madaraka maana inahatarisha mustakabali wao na ustawi wa jamii kwa hulka na tabia zao.
 
Watu mna utani kama umewahi vamiwa usingethubutu kuonea huruma haya maharamia,jirani yangu hapa majitu kama sabaya yalivamia mama mjane na mtoto wamevunja mkono mama wa watu na kupasua USO binti yake wakaiba wakasepa.Unaweza kweli kuwatetea watu kama huyu jamaa?
 
Jela nouma Sana ...!! Ni dunia ambayo haijulikani vyema uraiani ..!! Ni kama uzoefu wa vita , mwenye kusimulia vizur ni Yule aliyesalimika front line
 
Mkuu Mimi nilimgonga mtu na gari, Majibu yangu ya kiburi nikiwa mahabusu polisi na kujiamini yalinigharimu sana. Ningeweza kumaliza mambo nikiwa mahabusu polisi ili ilikuwa ni ule wakati unajua Mimi nani?

Baadae kesi ilinigeuka vibaya sana, Bila msaada wa mabosi wangu na watu wa karibu kuokoa jahazi
Fīat jūstitia ruat cælum meaning "Let justice be done though the heavens fall.
 
Wanabodi, Usichanganye kukaa Jela na kukaa Mahabusu
Mahabusu una muda hata wa kupiga stori na kuwa na Imani kuna siku mambo yatakaa sawa, Jela sio rahisi hivyo akili inakuruka ghafla na unapata ukichaa wa muda kwenye mazingira yale

Jela Unaanza maisha ukiwa ndani ya uniform za jela

Nilikaa Jela siku nne niliona kama nimekaa mwaka.Mambo ya siku nne tu si mchezo mchezo. Niliingia jela mchana wa saa saba nikapatwa na haja ghafla, Nikaletewa ndoo ya kujisaidia, Ni ndoo chafu huwezi kuangalia mara mbili hiyo ndoo ukiwa ndio siku ya kwanza huwezi kula tena

Jela hakuna huruma, Unakutana na mtu ana kusimulia habari zake za mauaji na ujambazi kama jambo la kawaida, Ukimuangalia mtu anatisha kila sehemu ya mwili amejaa vidonda na ananuka, Kumbuka huyo ndio jirani yako na mmepangiwa cello moja na utaishi nae kwa muda

Jela kuna kila aina ya magonjwa ambayo mtu asiyefika hawezi kuelewa hili ninaloongea, Hata ukifanikiwa kutoka jela unarudi uraiani ukiwa dhaifu sana na ni rahisi
kuondoka mapema kutokana na magonjwa ya kuambukiza toka jela

Tumuonee huruma Sabaya, Kuna wakati ukizuka ugonjwa wa mlipuko jela mfano kipindupindu au TB inakuwa ni vifo na kumbakumba, Jela ni hatari

Kuna Jela na Magereza, Ukisikia Jela ni jela kweli, Haya ni magereza ya Kilimo, Huko kuna Mateso magumu sana, Unalima mpaka mikono inapasuka. Ukikosea kulima kwa mistari utapigwa fimbo na Manyampala kama Mbwa koko
Huko ni kazi na Kipigo tu

Hayo ya Keko na Segere ni magereza siyo jela hizo. Jela zipo huko Njombe, Mbeya, Ruvuma kitai Mbinga. Ni balaa

Waliokaa zaidi ya mwaka huko na wakatoka watakuwa na mengi ya kusimulia
Ni kweli ulisemalo si mara ya kwanza kusikia hivyo. Kweli jela si mahali pazuri.

Vipi kuhusu viongozi na watu mashuhuri huwa na jela zao maalumu za VIP au na wao huchanganywa tu? Hizi story zipo sana mtaani
 
Kwahiyo ulihukumiwa kifungo cha siku nne?

Jamaa atakuwa muongo au kajichanganya.
Ukweli ni hivi ,Kama umetenda kosa na ukahukumiwa kifungo kwa haki kutokana na makosa uliyofanya ni haki yako kukaa jela na naamini hata roho yaku haitakuuma Sana , Sana Sana utajutia tu makosa uliyofanya.
Ila Kama umepelekwa jela kwa kubambikiwa makosa ambayo hukuyafanya lazima uteseke Sana mazingira hayo.
 
Sabaya apelekwe kwenye gereza la kilimo aanze kutumikia adhabu yake haraka kabla ya rufaa
 
Back
Top Bottom