Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.
Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.
Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Kama Kagame siyo dikteta ni bora neno hilo likatafutiwa maana nyingine.Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.
Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.
Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Wewe mwenyewe ulieileta mada huielewiElewa mada kabla ya kuchangia
Huwezi changanya maji na mafutaNimewaletea great thinkers
Kagame, Magufuli, Nkurunziza, n.k hawa ni madikteta kwenye nchi zaoKatika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.
Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.
Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Kagame ni dictatorKatika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.
Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.
Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Ni dictator ila ana akili na uzuri ana jua kingereza vizuriKwa mujibu wa nani?USA ilimualika dikteta white house?
Siku Julius Malema wa EFF ya south Africa akikutana na Tundu Lissu nafikiri atamsukumiza kwa nguvu sana avunjike miguu yote miwili - huyu bwana hapendi mwafrika anayejidhalilisha kwa wazungu na kulamba mabooti yao kama anavyo fanya Lissu. Utamsikia lissu akitaja jina la mzungu na kusisitiza kwamba huyo ni rafiki yake na amekuja kumuona Ubeligiji! Akisha taja jina lolote la mzungu utamuona anapause na kutikisa midomo kwa maneno yanaoonekana kama "REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE" - Kwa mfano alipo mtaja Mr. Kjell Bergh. Utafikiri wazungu ni mitume wa mwenyezi mungu!Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.
Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.
Je Tundu Lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Siyo kweli Malema hapendi watu wanaonyanyasa na kuonea wenzao bila kijali rangi ya mtu. Uwe mweusi au Mzungu. Malema siyo mnafiki wala hajikombi kwa mtu ,ndio maana alitofautina na Zuma wakati Zuma alikuwa rais bado .Siku Julius Malema wa EFF ya south Africa akikutana na Tundu Lissu nafikiri atamsukumiza kwa nguvu sana avunjike miguu yote miwili - huyu bwana hapendi mwafrika anayejidhalilisha kwa wazungu na kulamba mabooti yao kama anavyo fanya Lissu. Utamsikia lissu akitaja jina la mzungu na kusisitiza kwamba huyo ni rafiki yake na amekuja kumuona Ubeligiji! Akisha taja jina lolote la mzungu utamuona anapause na kutikisa midomo kwa maneno yanaoonekana kama "REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE" - Kwa mfano alipo mtaja Mr. Kjell Bergh. Utafikiri wazungu ni mitume wa mwenyezi mungu!