Jeffrey Smith, awaita viongozi wa AU madikteta!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
32,036
2,000
Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.

Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
5,513
2,000
Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.

Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.

Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?

Naaaaaam!!!!
Siyo Kagame na Al-sisi tu. Africa imejaa Madikteta kila kona anzia Magufuli wa Tanzania,M-7 wa Uganda, Kurunzinza wa Burundi, Al-Bashir wa Sudan,n.k just to mention a few of them.....!!
 
Bila bila

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
10,807
2,000
Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.

Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.

Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Kama Kagame siyo dikteta ni bora neno hilo likatafutiwa maana nyingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gemmanuel265

JF-Expert Member
Feb 16, 2016
8,503
2,000
Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.

Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.

Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Kagame, Magufuli, Nkurunziza, n.k hawa ni madikteta kwenye nchi zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
10,046
2,000
Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.

Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.

Je Tundu lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Kagame ni dictator
 
Kitwa-Mulomoni

JF-Expert Member
Oct 25, 2016
1,391
2,000
Katika muendelezo wake wa kuleta chaos Afrika kwa manufaa yake na ya USA ndugu Jeffrey Smith amewatukana viongozi wa AU waliokuwa wanabadilishana uongozi wa AU huko Addis Ababa.

Nitashangaa sana kuona AU inamkalia kimya huyu muhuni anayeshiba kwa kuleta migogoro Afrika.

Je Tundu Lissu anakubali kuwa Kagame na al SISi ni madikteta?
Siku Julius Malema wa EFF ya south Africa akikutana na Tundu Lissu nafikiri atamsukumiza kwa nguvu sana avunjike miguu yote miwili - huyu bwana hapendi mwafrika anayejidhalilisha kwa wazungu na kulamba mabooti yao kama anavyo fanya Lissu. Utamsikia lissu akitaja jina la mzungu na kusisitiza kwamba huyo ni rafiki yake na amekuja kumuona Ubeligiji! Akisha taja jina lolote la mzungu utamuona anapause na kutikisa midomo kwa maneno yanaoonekana kama "REHEMA NA AMANI ZIWE JUU YAKE" - Kwa mfano alipo mtaja Mr. Kjell Bergh. Utafikiri wazungu ni mitume wa mwenyezi mungu!
 
The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,039

Siyo kweli Malema hapendi watu wanaonyanyasa na kuonea wenzao bila kijali rangi ya mtu. Uwe mweusi au Mzungu. Malema siyo mnafiki wala hajikombi kwa mtu ,ndio maana alitofautina na Zuma wakati Zuma alikuwa rais bado .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar threads

Top Bottom