Jeffrey Epstein angekuwa mweusi wee

Jeffrey Epstein angekuwa mweusi wee

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
9,265
Reaction score
20,526
Mzuqa!

Jeffrey Epstein mmarekani ambaye anatuhumiwa kubaka na sasa hivi yuko nyuma ya nondo angekuwa mweusi wee.

Ungesikia ooh kwasababu ni mweusi ndio maana anaonewa kama akina R Kelly na Bill Cosby.
 
Basi huyu nae kaonewa kwa sababu mweupe.
 
Back
Top Bottom