JEFF BEZOS, founder of amazon.com world new billionaire ( $100 billion)

Heshima kwenu wakuu, wakati tunaenda kumalizia malizia mwaka juzi J5 ilikuwa siku nzuri kwa jeff bezos ambapo report iliyotelewa na shirika la bloomberg ilionyesha yafuatayo:-
>Amazon ilipata faida ya +0.48% ambayo ilichangia faida ya $34.2bl ambapo mpinzani wake microsoft ilipata +0.29%
>Amazon stock has rung up a 60% gan since jan 1, 17
Pia leo list ya billionaires 500 ilitoka ambao wa na jumla ya $5.3 trillion
Baadhi ya mabillionaire kwenye hii list mpya ambayo inaongozwa na jeff ni:-
1. Jeff bezos $100B
2. Bill gates $91B
3. Warren buffett $85.5B
4. Amancio ortega $75.5B
5. Mark zuekerberg $73.2B
16. Jack Ma $45.5B
116. Aliko dangote $12.2B
155. Cyrus poonawalla $9.24B
REF:
Wamabasi ya njano piteni hapa
=>World's Wealthiest Became $1 Trillion Richer in 2017
=>http://fortuneA.com/2017/12/27/world-richest-trillion-dollars-2017/
=>Bloomberg Billionaires Index
MY TAKE
Hiyo ndo listi mpya ya mabilionaire duniani mm pamoja na ww tunatamani siku moja tuwe kwenye hiyo list kwa maoni yangu yatupasa kufanya mambomakuu matatu
1. KUWA NA MALENGO ukiwa mtu ambaye huna malengo ni sawasawa na kuku aliye katwa kichwa hajui wapi pa kuelekea
2. FANYA KAZI KWA BIDII usitafute sababu za kujiona huna hatia mara hoo nilishidwa kuanzisha hichi kwa sababu nilikosa kile
3. USISAHAU KUMTANGULIZA MUNGU MBELE KWA KILA JAMBO mungu ndo muweza wa kila kitu muweke mbele kwenye kila hali au jambo lako hakika atakusaidia
====CYBERGATES====
Sawa mkuu tumeelewa , aya sasa na ww una ngap?
 
Back
Top Bottom