Jeee unatamani kua na mume kama huyu?

Jeee unatamani kua na mume kama huyu?

mahirtwahir

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2013
Posts
614
Reaction score
322
Kwa kawaida kina dada wengi wanajisikia kumpata mume aliobora

Kwa akina dada jeee unafurahia kumpata mtu wa aina hiii au unachukia?

Na jeee wanaume munafurahia hii hali ya kuwasaidia familia zenu au kwenu ni ubwege?
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1364144192526.jpg
    uploadfromtaptalk1364144192526.jpg
    37.5 KB · Views: 744
Huyu lazima ni mume -----...mama hapo anaangalia series za mapenzi ndani miguu kwenye meza anakunywa heineken anasubiri ----- apike pia...
 
Big up bro....wanaume kama wewe tupo wengi ila inauma tu pale wewe (mwanaume) unafanya kazi kama hizi then mkeo yuko guest na mkata kucha. Akirudi anakuambia leo Muhimbili foleni kwelikweli.
 
Nimempenda mtoto wa mgongoni tuu! Kufanya hivyo si kipimo cha chote!
 
Kwa kawaida kina dada wengi wanajisikia kumpata mume aliobora

Kwa akina dada jeee unafurahia kumpata mtu wa aina hiii au unachukia?

Na jeee wanaume munafurahia hii hali ya kuwasaidia familia zenu au kwenu ni ubwege?

hapo naona limbwata linahusika sana tu c bure
 
Big up bro....wanaume kama wewe tupo wengi ila inauma tu pale wewe (mwanaume) unafanya kazi kama hizi then mkeo yuko guest na mkata kucha. Akirudi anakuambia leo Muhimbili foleni kwelikweli.

Pole zao walio kwenye ndoa maana hiyo scenario kwa kweli ni ngumu kumeza.

Afadhali sie ambao hatuko kwenye ndoa maana focus yako inakuwa kwa mtoto tu basi.
 
wakifanya mnawaita mabwege, wasipofanya mnawaona hawafai watu bwana hawana jema
 
huyo asha boostiwa si bure hata sura yake inamshitaki...
wamesha mboost
 
Pole zao walio kwenye ndoa maana hiyo scenario kwa kweli ni ngumu kumeza.

Afadhali sie ambao hatuko kwenye ndoa maana focus yako inakuwa kwa mtoto tu basi.
Eee bwana mbona unaniumiza kihivyo? Mi nampenda sana mke wangu na niko tayari kumpikia muda wowote. Simpiki kwa sababu tu yeye ni mke wangu ila nalipiza fadhila kwake maana what she does for me is beyond my imagination. Ni mtu wa kuigwa haswa mke wangu na ni bahati kwangu maana angekuwa kiruka njia na jinsi ninavyojituma kufanya kazi nyumbani sijuwi ingekuwaje na hizi hasira zangu.
 
Kwa kawaida kina dada wengi wanajisikia kumpata mume aliobora

Kwa akina dada jeee unafurahia kumpata mtu wa aina hiii au unachukia?

Na jeee wanaume munafurahia hii hali ya kuwasaidia familia zenu au kwenu ni ubwege?

Waume wa kizungu ndio hivyo .wanapika beba mtoto safisha nyumba kuniogesha ninataka nini duniani kitaletwa .
 
Back
Top Bottom