Jee ingekuwa wee ungefanyaje?

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,240
3,910
drink_pool_01.jpg



2
drink_pool_02.jpg





3
drink_pool_03.jpg




4
drink_pool_04.jpg




5
drink_pool_05.jpg


Source: What Happens When You Build a Pool Somewhere in Africa (5 pics)
 
Mbona kuna nchi uwa wanacheza nao kwa kupanda hata kwenye migongo ya tembo.
 
Mbona kuna nchi uwa wanacheza nao kwa kupanda hata kwenye migongo ya tembo.

Mkuu wako tofauti hawa.. Hawa ni African Elephant na hao wengine ambao hupandwa ni Indiana Elephant huwa ni wapole sana ila usijaribu kwa hawa wa kwetu
 
Kazi ndogo sana,kabla hata hajaja kunitembelea natwanga pilipili mbuzi nachanganya na ugoro kisha naiweka pembeni ya swiming pool yangu,nakuhakikishia hatosogea hata umbali wa kilometa moja toka kwangu..
 
tembo hana shari kama hujamwonyesha shari
anajua amewakuta mnaoga ndio maana kasepa kimya kimya
huwa wana akili sana mbaya ni wewe uingilie anga zake atakuondoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom