I have this Feeling,
Wakati mwingine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.
Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo wanpigia chepuo utawala wa kisheria(Mzee kaingilia mahakama)!
Ni utawala gani wa kisheria unaruhusu watu kuzungumia kesi zilizoko mahakamani na kutoa hukumu?
Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!
Aliye nao naomba kwa nia nzuri tu aulete,aje na uthibitisho kama,Rostam alikuja na vithibitisho kwa yale aliyoyafanya mengi.
Ila mpaka sasa mie naona ni tetesi kuwa Rostam ni fisadi ila hakuna vithibi,mpaka nitakapothibitishiwa hayo!
uje na ushihidi wa makaratasi yeye ndiyo mmiliki wa KAGODA,yeye ndiyo miliki wa DOWANS na malipo yaliyowahi kufanywa naye!
watu hawa nimewasoma sana na leo nafikia kusema wako katika payroll,Nahisi ila kuna ukweli,maelezo yao kumtetea mengi ni unbiased
Naomba tuchole Jedwali lingine,mie i have a feeling na siku zote huwa sibahatishi nikihisi,huyu ni mmoja watakaokuwa wanafadhiliwa na Mengi!
1.Mzee Mwanakijiji
2.Kubenea
3.Invisible
Namheshimu sana Mwanakijiji ila naomba aje akanushe tu kwa maneno yake kuwa yeye siyo miongoni mwao!
sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina rostam ni mafisadi bais mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period
Naona kijana kuna kitu kiwasha unatafuta kukunwa ..endelea tu ila huko mbeleni usije kwenda kulia kwa wajomba zako akina Invisible ..endelea
Acheni matani wakuu,muongeze na huyu kwenye paroll ya mengi
Haki gani za kuleta mijadala isiyo na kichwa wala miguu? Asubuhi yote hii mnaanza politiki, wajukuu wenu watakula nini? Ndo maana taifa halisongi mbele, mtu asubuhi yote hii anaanzisha thread kama hii ..unategemea nini ? upupu mtupu..
Nahisi Mengi mwenyewe ni Gembe
When it comes to Jokes we normally accept em buddy.Sasa KINARA ukianza kutaja watu kwa majina huoni unavunja sheria tulizojiwekea. Sijui nikuripoti kwa nani uonywe?.
Sasa KINARA ukianza kutaja watu kwa majina huoni unavunja sheria tulizojiwekea. Sijui nikuripoti kwa nani uonywe?.
Gembe na wewe kanusha kuwa kulipiwa masters na fisadi?
With all due respect to you, naomba tu ignore kama ni upupu.
Acheni matani wakuu,
Mimi kuwekwa sishtuki na wala sikanushi... Nahisi Mengi mwenyewe ni Gembe so huenda ana nyaraka za kuthibitisha ndiye ananilipa!
Kama Mengi ni mmojawapo katika waliotoa hela hapa:
Michango JF 2009: Updates
Basi ananifadhili kweli!
Mbona Ijumaa bado?
Gembe na wewe kanusha kuwa kulipiwa masters na fisadi?
When it comes to Jokes we normally accept em buddy.
BTW: Nilisema "Nahisi" na wala sikuthibitisha.
I can ban myself, simply report to me!
shalom,
kulia lia apewe fadhila..yaani it totally ashame..
Ukiangalia kabisa ,maneno ya Rostam na Mengi na maelezo yao yote yametoka humu humu JF..
kuna mtu alikuja kuwasaidia ku-compile mambo...Bila JF hakuna kitu
wewe ulitaka nianzishe Topic gani?mwenye upeo zaidi...
Mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.
Pls erase this thread..
Jibu kutokana na message iliyoletwa na muanzishaji sio kupanda DECI (KUANZISHA THREAD NDANI YA THREAD)
Huko nyuma ilishawahi kusemwa kuwa Gembe anasomeshwa na mafisadi, sasa naamini.
Yaah, nakumbuka! Mko........Invisible do you remember my first name kabala sijabadili??
Kama mambo ndiyo haya Mafisadi wana mtandao wa kutisha sana, kama kawaida ya wanasiasa wakitaka kupoteza ushahidi wa hoja zinazo wabana wanaanzisha hoja tofauti. Huu ni mwaka wa kupambana na ufisadi kivitendo na kuwaumbua. Wembe uleule wana jamii.