Mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.
Pls erase this thread..
I have this Feeling,
Wakati mwiongine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.
Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,haiwezekani watu kumtetea tu mzee huyu wakati huo huo mnaigia chepuo utawala wa kisheria(Mzee kaingilia mahakama)!
Ni utawala gani wa kisheria unaruhusu watu kuzungumia kesi zilizoko mahakamani na kutoa hukumu?
Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!
Aliye nao naomba kwa nia nzuuri tu aulete,aje na uthibitisho kama,Rostam alikuja na vithibitisho kwa yale aliyoyafanya mengi.
Ila mpaka sasa mie naona ni tetesi kuwa Rostam ni fisadi ila hakuna vithibi,mpaka nitakapothibitishiwa hayo!
uje na ushihidi wa makaratasi yeye ndiyo mmiliki wa KAGODA,yeye ndiyo miliki wa DOWANS na malipo yaliyowahi kufanywa naye!
watu hawa nimewasoma sana na leo nafikia kusema wako katika payroll,Nahisi ila kuna ukweli,maelezo yao kumtetea mengi ni unbiased
Naomba tuchole Jedwali lingine,mie i have a feeling na siku zote huwa sibahatishi nikihisi,huyu ni mmoja watakaokuwa wanafadhiliwa na Mengi!
1.Mzee Mwanakijiji
2.........
Namheshimu sana Mwanakijiji ila naomba aje akanushe tu kwa maneno yake kuwa yeye siyo miongoni mwao!
sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina rostam ni mafisadi bais mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period
Mods futa hii thread ..haina maslaha kwa wanyonge wa nchi hii zaidi ya kutaka kuleta shouting match hapa jamvini.
Pls erase this thread..
No, Ana haki ya ku-express his feelings
I have this Feeling,
Wakati mwiongine wakati unahisi mtu akimtetea ROstam au kina Lowassa au Mkuu wa nchi basi huyo yupo kwenye Payroll ya mafisadi.
Kwa ushaihidi ule ule mie nahisi watu hawa watakuwa kwenye payroll ya mengi,
Mie mpaka sasa huwa nasikia Rostam ni Fisadi,ila sijawahi kuona ushahidi wa ufisadi wake!
1.Mzee Mwanakijiji
Sitaweza kumhukumu mtu bila ya kuwa na ushahidi ila kama tunavyohisi kina Rostam ni mafisadi basi mie nahisi kina Mwanakijiji wanalipwa na Mengi,Period
Haki gani za kuleta mijadala isiyo na kichwa wala miguu? Asubuhi yote hii mnaanza politiki, wajukuu wenu watakula nini? Ndo maana taifa halisongi mbele, mtu asubuhi yote hii anaanzisha thread kama hii ..unategemea nini ? upupu mtupu..
Ndiyo mana una utindio wa ubongo!
sas imehamishwa huku umefurahi?hamjanitendea haki na kwanini Mwanakijiji tu aisemwe??Nimeomba mwanakijiji aje akatae..
Huu ni mwezi wa kutoa vithiviti tu!
wewe ulitaka nianzishe Topic gani?mwenye upeo zaidi...
Kwanza niombe radhi.
Pili, nimetoa maoni yangu kama mdau, kama wewe ulivyofanya,na kama una tatizo na hili saga vyupa unywe.
Tatu, nadhani fikra zako ni ziko biased yaani mawazo yako ni kumpinga yeyote asiyekubaliana na serikali iliyopo kwenye hatamu. Sijui unahofia nini..kama unahofia mkate wako kupokwa pole zako..nguvu ya umma itachukua mkondo wake itakapobidi na hamna wa kuzuia hilo.
Nne, be assured kuwa sina usimba wala uyanga ktk hizi ishu za mipasho na taarabu za mafisi wala nchi. Lakini ktk hili umeonesha jinsi upeo wako unavyogaragara kwa kumfungulia thread Mwanakijiji..lol.
Hayo ulionena ni kweli tupu na cha zaidi ni kuwa wana ''agenda za siri'' sio kwa RA tu bali kwa utawala mzima wa JMK na wengineo.
Naomba radhi!
Mwanakijiji ni mjomba wangu,hivyo hatojali na hii tabia ya ku-sepeculate nimeitoa kwake,atakuja tu hapa kujibu na hauhitaji kumsaidia..
Invisible bwana..
ohoo yamekuwa hayo tena.Invisible nakupenda sana!