Jecha: Tume haikumuonea Seif, kura alizotangaza zilikuwa tofauti na za Tume

idawa

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
25,282
38,359
Anajaribu kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali hasa majukumu ya NEC na ZEC.

Jecha - Kuhusu uchaguzi wa Mwaka 2015 ulikuwa uchaguzi wa kawaida na ulifuata taratibu zote sahihi

Jecha - Matokeo ya uchaguzi wa 2015 yalijulikana mapema, hivyo baadhi ya vyama vililamamika. Hivyo kupelekea tume kufuta matokeo.

Jecha - Matatizo yalianza baada ya kuanza kutangazwa matokeo toka pemba, utaratibu wa kiufundi ulifanyika kuvuruga matokeo.

Jecha - Ni kweli kwamba chaguzi zote za Zanzibar huwa zinakuwa na matatizo, na uchaguzi kufutwa sio mara ya kwanza 2015 na huko nyuma umewai kufutwa.

Jecha - Watu wanaonilaumu kuhusu uchaguzi wa Zanzibar sijawahi kukutana nao, na kama wanaolalamika wapo waiandikie tume barua sio Jecha binafsi.

Jecha - Maamuzi mengi yaliyofanyika kwenye uchaguzi nilishirikiana na tume, kama Mwenyekiti wakati mwingine inakubidi maamuzi mengine uyachukue mwenyewe.

Jecha - Kazi ya tume sio kukamata viongozi wanaojitangaza kabla ya tume ila kuna vyombo husika.

Jecha - Tume hatukumonea Sefu, ila mambo aliyoyafanya hayakuwa sahihi.na kura alizotangaza zilikuwa tofauti kabisa na za Tume.

Jecha - Kipindi changu kinaisha mwezi wa nne mwaka 2018, lakini kama Rais akiona nafaaa kuendelea nipo tayari kama nitajiona nina nguvu za kutosha.

Jecha - Matokeo ya uchaguzi hayakuondoa serikali ya maridhiano, hilo swala lipo kikatiba.

Jecha - Nawashauri wanasiasa wapunguze jazba, jazba zinazigawa familia na hata kususuana vyombo vya usafiri na wengine kufikia kukata mazao ya wenzao na hata kuchomeana moto nyumba hasa Pemba.

Jecha - Ulichaguzi ulifutwa kutokana na dosari zilizojitokeza, na vyama vingi vilishiriki na uchaguzi ukafanyika.Tatizo kuna viongozi wanaopalilia jazba kwa wafuasi wao. Viongozi waache kutumia jazba za kisiasa na wafuasi wao.

Kipindi kimeisha
 
Hujachelewa sana hebu fuatilia mahojiano yao ndani ya AZAM2 akihojiwa na Tido Muhando
 
Wamekata umeme kwetu, nilikiwa nasubiria kwa hamu kubwa kumsikiliza
 
Anajaribu kutolea ufafanuzi maswala mbalimbali hasa majukumu ya NEC na ZEC.

Jecha...Kuhusu uchaguzi wa Mwaka 2015 ulikuwa uchaguzi wa kawaida na ulifuata taratibu zote sahihi

Jecha.... Matokeo ya uchaguzi wa 2015 yalijulikana mapema, hivyo baadhi ya vyama vililamamika..Hivyo kupelekea tume kufuta matokeo.

Jecha.. Matatizo yalianza baada ya kuanza kutangazwa matokeo toka pemba, utaratibu wa kiufundi ulifanyika kuvuruga matokeo.

Jecha...Ni kweli kwamba chaguzi zote za Zanzibar huwa zinakuwa na matatizo, na uchaguzi kufutwa sio mara ya kwanza 2015 na huko nyuma umewai kufutwa.

Jecha....Watu wanaonilaumu kuhusu uchaguzi wa Zanzibar sijawahi kukutana nao, na kama wanaolalamika wapo waiandikie tume barua sio Jecha binafsi.

Jecha.. Maamuzi mengi yaliyofanyika kwenye uchaguzi nilishirikiana na tume, kama Mwenyekiti wakati mwingine inakubidi maamuzi mengine uyachukue mwenyewe.

Jecha...Kazi ya tume sio kukamata viongozi wanaojitangaza kabla ya tume ila kuna vyombo husika.

Jecha....Tume hatukumonea Sefu, ila mambo aliyoyafanya hayakuwa sahihi.na kura alizotangaza zilikuwa tofauti kabisa na za Tume.
Tunaomba CV ya jecha, tusije kuwa tuna-deal na elimu ya madrasa katika technical issues --- (siyo nadharau madrasa, hapana hiyo ni elimu muhimu na ya juu kwenye dini, siyo siasa)
 
Huyu jamaa hajui anachoongea.
Sio hajui anachoongoza ila alipewa onyo maswala ya kuongea hadharani, ndio maana baada kubanwa sana anasema mambo mengi yatakuwa wazi baadae na sio sasa.
 
Anajaribu kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali hasa majukumu ya NEC na ZEC.

Jecha - Kuhusu uchaguzi wa Mwaka 2015 ulikuwa uchaguzi wa kawaida na ulifuata taratibu zote sahihi

Jecha - Matokeo ya uchaguzi wa 2015 yalijulikana mapema, hivyo baadhi ya vyama vililamamika. Hivyo kupelekea tume kufuta matokeo.

Jecha - Matatizo yalianza baada ya kuanza kutangazwa matokeo toka pemba, utaratibu wa kiufundi ulifanyika kuvuruga matokeo.

Jecha - Ni kweli kwamba chaguzi zote za Zanzibar huwa zinakuwa na matatizo, na uchaguzi kufutwa sio mara ya kwanza 2015 na huko nyuma umewai kufutwa.

Jecha - Watu wanaonilaumu kuhusu uchaguzi wa Zanzibar sijawahi kukutana nao, na kama wanaolalamika wapo waiandikie tume barua sio Jecha binafsi.

Jecha - Maamuzi mengi yaliyofanyika kwenye uchaguzi nilishirikiana na tume, kama Mwenyekiti wakati mwingine inakubidi maamuzi mengine uyachukue mwenyewe.

Jecha - Kazi ya tume sio kukamata viongozi wanaojitangaza kabla ya tume ila kuna vyombo husika.

Jecha - Tume hatukumonea Sefu, ila mambo aliyoyafanya hayakuwa sahihi.na kura alizotangaza zilikuwa tofauti kabisa na za Tume.

Jecha - Kipindi changu kinaisha mwezi wa nne mwaka 2018, lakini kama Rais akiona nafaaa kuendelea nipo tayari kama nitajiona nina nguvu za kutosha.

Jecha - Matokeo ya uchaguzi hayakuondoa serikali ya maridhiano, hilo swala lipo kikatiba.

Jecha - Nawashauri wanasiasa wapunguze jazba, jazba zinazigawa familia na hata kususuana vyombo vya usafiri na wengine kufikia kukata mazao ya wenzao na hata kuchomeana moto nyumba hasa Pemba.

Jecha - Ulichaguzi ulifutwa kutokana na dosari zilizojitokeza, na vyama vingi vilishiriki na uchaguzi ukafanyika.Tatizo kuna viongozi wanaopalilia jazba kwa wafuasi wao. Viongozi waache kutumia jazba za kisiasa na wafuasi wao.

Kipindi kimeisha
Ukifuatilia siasa za Zanzibar utagundua Rais Donald Trump wa Marekani ana akili sana!
 
Back
Top Bottom