Je zilikuwa ziara za kuaga(na)?

Je zilikuwa ziara za kuaga(na)?

Lakini haya mawatu ni kuyaacha tu

Tunawaambiwa kila siku ishu ya katiba sio suala la Chadema ni suala la Watanzania

Katiba ya sasa haiendani na generation iliyopo. Rais mjinga atamaliza watu

JPM alituonesha umuhimu wa katiba na kumuondolea power isiyo na limit Rais

Samia anatuonesha zaidi katiba mpya

bila hiyo Tz Inaenda kufa

Kama kawa CCM wanaamini hizi ni kelele za wapinzani , pole pole hakuwahi kuamini katiba mpya mpaka alipoguswa makalio

Leo HP ni wa kufa kama mbwa ? Tena waliomla ni mbwa wenzie… Yaani Mbwa kala mbwa

Leo Nchimbi ni wa kujiuzulu kwa vi post vya insta ? Nchimbi huyu huyu wakati wa NRNE alitoka na kusema kuwa ambao hawatopiga kura watakuwa wamejinyima wenyewe haki yao ya kikatiba hivyo wao wataendelea na uchaguzi
Ni Nchimbi huyu huyu walishirikiana pale dom kumpitisha Samia kihuni, leo Samia huyo huyo anamla nchimbi

Hii yote ni kwa sababu rais ana power kubwa san na ni hatar hasa ukipata mtu kama JPM ( msomi mwenye jeuri ) au mtu kama Samia ( ambae elimu yake ipo compromised)

Ni hatari sana , jamaa ni wahuni na full macapitalish….! Ni death or obey
Nchimbi yupo in danger kwa kinyago alichoshiriki kukiumba
Sahihi
 
Back
Top Bottom