ni kweli kabisa aliolewa na mzee fulani mzungu na wakawa wanaishi marekani kama miaka mitatu iliyopita alikuja mwanza o nyakato parokiani akiwa na huyo babu na wakajitambulisha kanisani kwamba wameoana, baba yake alikuwa mwenyekiti wa parokia na pia aishamcukua mdogo wake kwenda nae huko huyo mdgo wake alimaliza loreto girls secondary school.