Je, ya Aboud Jumbe yamejirudia?

Je, ya Aboud Jumbe yamejirudia?

Mchochezi

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
11,449
Reaction score
9,745
Kinachoendelea kuhusiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana kwa muda mrefu ni kujirudia kwa mambo yaliyomkuta Sheikh Aboud Jumbe mwaka 1984?
Tetesi zilizopo ni kuwa Kinana hatakiwi kutoka nyumbani kwake wala kuzungumza na media, Je Kinana amewekwa kizuizini? Ni kosa gani Kinana amefanya mpaka kupewa zuio hilo?

Karibuni kwa mjadala
 
ACHA KUSAMBAZA UMBEA, UTAVISHWA SKETI KISHA USUTWE !!
 
Niliona mahali jana,eti leo kinana angeonana na jumuiya ya wana vyou vikuu wa ccm yumbani kwake.sijui kama kweli kazungumza nao.
 
Kinachoendelea kuhusiana na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye hajaonekana kwa muda mrefu ni kujirudia kwa mambo yaliyomkuta Sheikh Aboud Jumbe mwaka 1984?
Tetesi zilizopo ni kuwa Kinana hatakiwi kutoka nyumbani kwake wala kuzungumza na media, Je Kinana amewekwa kizuizini? Ni kosa gani Kinana amefanya mpaka kupewa zuio hilo?

Karibuni kwa mjadala
Unataka watu wajadili tetesi?
 
Mkifungwa hamukawii kulalamika kuwa mumeonewa
 
Niliona mahali jana,eti leo kinana angeonana na jumuiya ya wana vyou vikuu wa ccm yumbani kwake.sijui kama kweli kazungumza nao.
Hilo likiwezekana ujue mwisho wa dunia umefika. Wale watoto ni waongo kama wakubwa zao.kuna shida mahali, ila muda siyo mrefu haitakuwa Siri tena.
 
Chadema ni wanafki sana kuna kipindi walikuwa wanamponda lowassa na sumaye wakiwatuhumu wezi tena mafisadi papa mungu kwa uwezo wake akawaumbuwa akawaperekea wote bila ya aibu wakawasafisha awakutosheka wakamzungumzia kinana fisadi wa pembe za ndovu leo hii kinana amekaa kimya wanatudanganya tena eti tetesi kinana amezuiwa CHDEMA acheni unafiki mungu anakuoneni .magaufur alishasema ataki siasa wanachama wake kwanza wafanye kazi .
 
Mkuu wangu, acha kulia. Tujuze Kinana yuko wapi? Mambo ya Lowassa na Sumaye yana nyuzi zake.
 
Back
Top Bottom