Je, Wewe ungempisha nani kati yao?

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
819
531
7804c0229441a2b5dc3f4996852a061d.jpg
 
Mwenye pesa, usicheze na pesa mkuu, mwenye pesa anaweza kumtoa kabisa huyo daktari asiendelee kutibu na mkakosa kabisa huduma
 
Mimi ningepata sababu ya kuto mpisha yeyote,
Hapo ningeutafuta usingizi wa magirini huku namsikiliza konda akitaja vituo
 


Kwa kuwa hao ni wazungu, tuwaachie wazungu wenyewe...tuwekee picha za aina hiyo za watu weusi kwenye magari yetu ya mwendo kasi tuone...Huku kwenye mwendokasi ya kwetu watu hawaachiani viti...kuna siku mbili tatu, niliacha kajigari kangu na kutumia usafiri wa mwendokasi...duh, visi-chana vingi na hata vi-vulana vimekomaa kwenye seats huku vikiwa bize ku-chat na vinajifanya havikuoni wewe ambaye umekula chumvi nyingi kuvizidi...
 
Back
Top Bottom