Je wewe Unakubaliana na huyu jamaa?

Je wewe Unakubaliana na huyu jamaa?

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,151
Reaction score
20,068
Jamaa anasema kama wewe hudaiwi basi huna akili kabisa, chizi. Wewe unasemaje?
Screenshot_20170716-173517.png
 
Wewe mwenyewe "unakubaliana naye?"

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama hudaiwi Ina maana huaminiki...Kama hudaiwi pia Ina maana siyo risk taker,unaogopa kushughulika na mambo magumu.Kudaiwa ndiyo kunafanya watu wachakarike,waamke alfaji na kupiga kazi kwa bidii.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kama hudaiwi jichunguze sana. Matajiri wakubwa wana madeni wanalipa. Wenye pesa zao wanakopa, sio kwa vile hawana pesa, la hasha, wana malengo ya kibiashara zaidi.
Mimi ninadaiwa, kwa hiyo nina akili!
 
Kudaiwa kuna maana nyingi, ukiwa na familia tayari unadaiwa.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Nadaiwa na HESLB

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Asilimia kubwa tuna madeni
1. Ulisoma=HESLB inakudai
2. Umepanga =Mwenye nyumba anakudai
3. Mfanyakazi = Serikali inadai kodi, SSRA pia nk
4. Unadaiwa ibada,mfungo nk
5. Una gari = linadai service,kiwese nk
6. Umeajiri= Unadaiwa mishahara

kwa hiyo wenye akili tupo wengi

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Kudaiwa? Sawa. Lakini siyo kama "Diblo Diallo"!

Sent from my Siemens c35 dole-gumba using JamiiForums app.
 
Naamini kabisa. Yaani unashindwa hata mkopa papuchi demu ukadaiwa...?

Dunia ingekuwa na mlango kuna Mtu ningemtoa nje
 
Back
Top Bottom