The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,076
Jamaa anasema kama wewe hudaiwi basi huna akili kabisa, chizi. Wewe unasemaje?
Madeni mengiKipi kipimo cha akili
Hao ndio mara nyingi huandika ujinga kwenye pikipiki zao.Hahahaah
Mkuu una utani na wasukuma lol! [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Cc Smart911
Wa kolomijeAkili sio madeni "huyo mwenye pikipiki atakuwa msukuma"