Je wewe unaidai Uchumi Supermarket? Soma hapa

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
75,203
157,376
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO......
Jumanne Saa nne asubuhi ma supplier wote wanaoidai Uchumi supermarket kutakuwa na kikao katika ukumbi wa BNN. Ukipata ujumbe huu umjulishe na mwingine.
 
Back
Top Bottom