Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,902
- 155,992
Duuuuuuuuuuu kama bata taraaaaaaatibuuuuu
michezo ya bata kuku haiwezi
Duuuuuuuuuuu kama bata taraaaaaaatibuuuuu
mimi ni punda niwapo mapenzini. Ni mpole, mvumilivu na ninafanya kazi kitandani bila kujipendelea ila nampendelea mwenzanguhadi nimfikishe kileleni.
Je wewe unajitathmini vipi, na kujilinganisha na mnyama gani?