Je wewe una tabia ya mnyama gani maapenzini?

mimi ni punda niwapo mapenzini. Ni mpole, mvumilivu na ninafanya kazi kitandani bila kujipendelea ila nampendelea mwenzanguhadi nimfikishe kileleni.
Je wewe unajitathmini vipi, na kujilinganisha na mnyama gani?

Nimjuavyo punda hua anatoa limlio moja la ajabu ajabu hivi, mbona hilo hujaliongelea au punda yupi unayejilinganisha naye mzee!
 
Mi bwana kama mnyama yeyote anayetumia missionary style na ambae huwa anatoa mlio mwanana, sa sijui atakuwa mnyama gani!?
 
Nguruwee, viuno kwa kwenda mbeleeeeeeee na ufumbaji wa macho, tehe tehe teheeeeeeeee
 
vyakula vya sikuhizi vinawafanya wanaume na wavulana kushindwa kufanya tendo hilo kwa kiwango kinachotakiwa, wengi wanakuwa kama kuku na hawawezi kurudia kwa wakati
 
Hahahahaha mi ni chura mpenz wang anahofia mimba nikitaka kukojoa tuu naruka kwahiyo mchezon naruka ruka tuu basi mm chura hahhhhaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom