Je, wewe umeshatengeza ajira ngapi mpaka sasa?

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Unajua unaweza kuwa unalalamika kila siku kuhusu serikali! Lakini je wewe umefanyaje kuhusu kutengeneza ajira mpya mpaka sasa?
Mimi binafsi nimetengeneza ajira za kudumu 5 mpaka sasa.
Na ninafanya jitihada za kutengeneza ajira nyingine mpya.

naomba utaje na utoe housegirl au house boy kwenye hiyo list

mimi binafsi natengeneza ajira nyingi but za vibarua zaidi

Mkuu mimi nina beach bungaloo. Nina wafanyakazi ishirini na tano. Vipi hapo?

I salute you! Hapo nakubaliana na wewe ukiendelea kui-push serikali nayo itimize wajibu wake

Unajua unaweza kuwa unalalamika kila siku kuhusu serikali! Lakini je wewe umefanyaje kuhusu kutengeneza ajira mpya mpaka sasa?

Mimi binafsi nimetengeneza ajira za kudumu 5 mpaka sasa.

Na ninafanya jitihada za kutengeneza ajira nyingine mpya.

Mimi sikuahidi kutengeneza ajira, sasa kwanini univike majukumu haya?

Unamaanisha nini?.....It starts from the bottom up,any economy is built by consumers,not producers.
Production=Creation of utility.
Utility=Ability to satisfy needs.

Halafu ukishajua?? Kimsingi ishu sio umetengeneza ajira ngapi bali ni namna ulivyozitengeneza. Hivi unadhani hao wanaoitwa mafisadi wametengeneza ajira ngapi kutokana na ufisadi wao? Nao tuwapongeze kwa kutengeneza ajira kwa pesa za wizi?

Ninaamini lengo la kuleta mada hii ni zuri kabisa, na kama sijakosea ninaamini ni kuwatia watu motisha wa kufanya kazi zaidi. Hata hivyo huwezi kukataa ukweli kuwa kuna uzembe mkubwa unaendelea serikalini. Hivi vitu viwili ulivyojaribu kuviunganisha havihusiani kwa namna unayotaka tuamini.

Mwisho napenda kusema ni vizuri kuleta motisha wa kazi lakini pia acha tuibane serikali vilivyo.

Duh... hapa kazi wkeli kweli! Hivi mada hii nayo ina-provoke malalamiko juu ya serikali? Najua wanachemsha kila kukicha lakini hatuwezi kupongeza watengeneza ajira kihalali na wajasiriamali bila kutupia michanga ya mafisadi...? Kwa mwendo huu hicho kibano kinapoteza nguvu in my humble opinion.

Mi mpaka sasa ajira 100 maana nazungukia bar 10 kila siku wahudumu wana uhakika

Back
Top Bottom