Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,367
- 11,604
- Thread starter
- #21
jf member [emoji28][emoji28][emoji28]Huyu jamaa huwa anasema kuwa amepiga PCB A_level hapo unagundua kuwa elimu yetu iko chini sana.
jf member [emoji28][emoji28][emoji28]Huyu jamaa huwa anasema kuwa amepiga PCB A_level hapo unagundua kuwa elimu yetu iko chini sana.
shule zinafunguliwa lini
Kazi tunayo mabaka shule ziwe hewanishule zinafunguliwa lini
KWA KWELIKazi tunayo mabaka shule ziwe hewani
Wala humuongopii usemayo Ni ya ukweli kbsaWewe yote umeyajuaje haya?
Psychologists wanajua wanayoyajua na kujua anachokijua na anachokipitia binadamu mwingine sababu wamesomea psychology ya binadamu accordingly.
Mtu wa kawaida atajua na anajua anachokijua kwa njia moja tu, kupitia na kushuhudia hicho kitu na kuwa na experience nacho.
Sasa wewe mkuu bila shaka sio psychologist means ulichoandika ni experience yako binafsi therefore ina maanisha unajiexpose mwenyewe uhalisia wako wa ndani bila kujua.
Niambie naongopa kwamba hicho ulichokiandka ni wewe mwenyewe..?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nao hata wale wanawake wanaovutia lakini unaheshimiana nao na wala hujawahi kuwawazia kingono huwezi simamisha kwa kuwatamani.
Kwa maana hiyo lecturers vyuoni wao siku nzima mnara unasoma, maana maofisini mwao pisi zinapishana na shida mbalimbali.
Wachungaji pia, madaktari kutwa nzima chuma kipo on [emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu mwamba sijui anawaza kwa kutumia hiyohiyo dushe yake.
Mimi mwenyewe ni wa 98 ila sina akili za kipumbavu hivi