Je, wewe ni mstaarabu?

Pamoja na pongezi hizo lakini bado nina mapungufu. Sijakamilika 100% katika ustaarabu wangu. Hebu sema kuhusu wewe mwenyewe- umestaarabika?
Wanaonizunguka ndio wanaweza kusema mimi ni mstaarabu au hapana; unawaachia watu wakupime kwa vigezo vilivyopo.
 
Ustaarabu huja baada ya experience hasa maisha yanapokupa funzo

Kustaarabika kuna kuja with time. Ila kwa wengine hukulia katika familia za wastaarabu nao pia huwa wastaarabu automatically
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…