Je? Wewe ni mmiliki wa studio ama producer?

Kim4real

New Member
Nov 12, 2011
1
0
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 21 nimehitimu kidato cha 4 nina kipaji cha muziki ila sijapata mtu wa kuisaidia kuendeleza kipaji changu niko tayari kufanya kazi chini ya lebo ya mtu binafsi hivyo yeyote aliyetayari kunisaidia naomba tuwasiliane kwa 0752991187 au hmeshack@yahoo.com
 
wee acha ujinga kasome, kwa elimu yako bado sijaelewa ujuzi mkubwa ulio nao
 
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 21 nimehitimu kidato cha 4 nina kipaji cha muziki ila sijapata mtu wa kuisaidia kuendeleza kipaji changu niko tayari kufanya kazi chini ya lebo ya mtu binafsi hivyo yeyote aliyetayari kunisaidia naomba tuwasiliane kwa 0752991187 au hmeshack@yahoo.com

Dogo hawa vipi?
[h=1]Hezron Meshack[/h]
Musician at B-RecordsWent to NYAMILAMA

[h=4]Work and Education[/h]

Employers

Au unataka kuwapiga chini?
Mbona wasanii kibao wametokea B Recors?
 
Back
Top Bottom