MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,213
- 2,612
vaa viatu vinavyokubanaHabari MMU!
Kuna siku kwenye maisha unakumbwa na msongo wa mawazo unajikuta upo upo tu.
Unagusa hiki hakiendi, moja haikai wala mbili haikai.
Lakini juu ya yote unatamani kupiga monde, kuvuta sigara, bangi nk mpaka upotee like kwenye ile movie ya Hangover lakini ukiwaza kesho yake unapaswa kuwa kazini na uwepo wako wa kutoa huduma unaweza kuokoa maisha ya watu unajikuta tu unalala na maumivu hatari.
Ngoja niendelee kupata kakirikuu changu hapa, nikalale mapema kabla sijaharibu.
Nawasilisha.