Je, Wema Sepetu atakubali kuwa mke wa Nabii Tito?

huyu Jamaa KAvurugwa mimi sio Christian ..lakini kuendelea kumuita huyu Jamaa MCHUNGAJI nikulivua Nguo KANISA..mchungaji amevaa pilet kama baadhi ya wachungaji wa U.S.A
namkorogo juu ..sasa huyo in KITOKOLOLO au mchungaji....?
anawatoto 12 aiseee ..najinsi wanawake wasasa walivyo na madrama waweza kukuta watoto wake ni wa3 tu..hao wengine wote ni product za wanaume wenzie
 
Katika comments zote nilizopitia hapa JF na ktk mitandao mingine ya kijamii sijaona hata moja inayompinga Nabii Tito kwa hoja za nukuu za vifungu vya Biblia. Wataalam wa Biblia waje wamkosoe kwa hoja za kumnyong'onyeza la sivyo atakuwa na nguvu ktk hoja zake
 
Wee nawe vipi? Unampingaje mtu kwa Biblia wakati yeye hajatumia hiyo Biblia kuhubiri?. Mtu anaongea upumbavu anavaa hereni na kujichubua bado huoni kuwa mhuni mpaka utake hoja zake zipingwe kwa Biblia
 
Dunia haiishi maajabu...ila hatakama huendi kusali kwake ila una michepuko,unakula bekitatu na unakunywa pombe wewe ni mfuasi wake...ndo mana jamaa kasema anawafuasi wengi.
Yes,kabisa sema watu ni wanafiki hayo yote wanayafanya sana tu
 
Shonza mwingine huyu huku anachafua maadili ya watanzania, kwanza kunywa pombe kabla ya saa kuni na maeneo yasiyokuwa na kibali ni kosa kisheria
Kulewa kabla ya muda huo ndiyo kosa,mbona mvinyo wanakunywa asbh siku za ibada?
 
Kimusingi hapa duniani kuna dini za aina mbili tu dini zilizoletwa na wageni na dini za wenyeji dini zilizoletwa na wageni ni Islamic na Christianity hizi dini tofauti zake ni tatu tu lakini pia zinavitu vikubwa viwili vinafanana kwa hiyo hoja hapa huyo nabii ni wa dini gani ili mutafakari je dini zilizoletwa na wageni na zile za wanyeji zipi sahihi
 
Katika comments zote nilizopitia hapa JF na ktk mitandao mingine ya kijamii sijaona hata moja inayompinga Nabii Tito kwa hoja za nukuu za vifungu vya Biblia. Wataalam wa Biblia waje wamkosoe kwa hoja za kumnyong'onyeza la sivyo atakuwa na nguvu ktk hoja zake
Ana hoja gani kwani zilizokugusa??
 
Dini hizi kama nilivyosema hapo awali zinatofauti kuu tatu moja ni kwamba dini za wenyeji hazimutambui Shetani ila zinamutambua Mungu ili uhakikishe hilo jiulize kwa lugha yako ya asili mungu anaitwaje na Shetani anaitwaje utapata jibu Pili dini zilizoletwa na wazungu zinawanzilishi hizi za wenyeji hazina wanzilishi kwa mfano dini za kikiristo mwanzilishi wake ni Yesu na dini za kiislam mwanzilishi wake ni Mtume Mohammed.tofauti nyingine ni kwamba Dini zilizoletwa na wageni ziko documented yani ziko kwenye maadishi wakati dini za wenyeji haziko kwenye maandishi.Dini zote hizi zinafanana katika mambo makubwa mawili zote zinamutambua Mungu na maombi yao kwenda kwa mungu nilazima wayapitishe kupitia majina ya watu waliokufa kwa hiyo Pima kama huyo nabii ni sahihi au vipi
 
Back
Top Bottom