Je watu wanaipenda CCM au maslahi binafsi !

swagazetu

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
4,251
1,467
Kwa namna maendekeo yanavyorudi nyuma ni vigumu kuiamini tena CCM.

Je ni kweli wafuasi wa CCM wanaipenda kwa dhati au wanalinda MASLAHI yao!!

CCM imekuwa kichaka cha maovu kama vile wizi BoT,uuaji tembo na utoroshaji wanyama.Mbali na hayo utaipenda CCM kwa lipi???
 
Kwa namna maendekeo yanavyorudi nyuma ni vigumu kuiamini tena ccm.

Je ni kweli wafuasi wa ccm wanaipenda kwa dhati au wanalinda MASLAHI yao!!

Ccm imekuwa kichaka cha maovu kama vile wizi BoT,uuaji tembo na utoroshaji wanyama.
mbali na hayo utaipenda ccm kwa lipi???

Pesa kwanza wananchi baadaeeeee!!!!
 

Attachments

  • IMG_22137154239634.jpeg
    IMG_22137154239634.jpeg
    29.8 KB · Views: 68
  • IMG_17583010042065.jpeg
    IMG_17583010042065.jpeg
    46.6 KB · Views: 69
umasikini wetu na ujinga ambao ccm wametuandaa kuwa hivyo tangu uhuru ndio mtaji wao... OVER.
 
Yaani hiki chama cha macccm ni wabinafsi tu na kujali masilahi yao ndiyo wanaangalia tu.
 
Wapo watu wengi sana wanapigia kura wagombea wa ccm huwajawahi kupewa hata mia hayo maslahi binafsi sijui unamaanisha nini.
 
Hakuna mtu nayeipenda CCM hivihivi, itakuwa aidha kwa sababu ya ujinga au yeye ama nduguye ana masilahi humo!
 
Kwa namna maendekeo yanavyorudi nyuma ni vigumu kuiamini tena CCM.

Je ni kweli wafuasi wa CCM wanaipenda kwa dhati au wanalinda MASLAHI yao!!

CCM imekuwa kichaka cha maovu kama vile wizi BoT,uuaji tembo na utoroshaji wanyama.Mbali na hayo utaipenda CCM kwa lipi???

Si kwamba kuna mtu anaipenda CCM, ila ni kwamba watu hawajapata mbadala wa CCM,....Siku Tanzania tutakapokua na upinzani IMARA hakuna atakayechagua CCM...
Ila kwa sasa TLP, NCCR, CUF na CHADEMA, n.k wameshindwa kukata kiu ya watanzania wanaopenda mabadiliko ya kweli!
 
MKUU hakuna anayeipenda ccm kibubu bubu.
vijana wengi na wasomi wanakimbilia huko kwa maslahi binafsi??
watu wanasafirisha malighafi bila hata kuulizwa wala kusumbuluwa kisa yupo upande wa ccm
 
Back
Top Bottom