amygdala JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 1,082 Reaction score 997 Dec 9, 2016 #121 kwa utapeli ulofanyika acha huo utafiti uko sahihi kabisa
Nicholas JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 25,260 Reaction score 7,217 Dec 9, 2016 #122 ISIS said: Hapo ndipo inabidi tuachane njia panda maana mimi ni CCM KWELI KWELI . ..Chama hichi kimenitoa mbali siwezi kukiasi hata punje . ..samahani sana . .. Click to expand... Wala usihofu, kwani hata mada yenyewe pia inasema hivyo. So km umefikia ktk ccm busara zoeleka zinakimbia sina cha kufanya.
ISIS said: Hapo ndipo inabidi tuachane njia panda maana mimi ni CCM KWELI KWELI . ..Chama hichi kimenitoa mbali siwezi kukiasi hata punje . ..samahani sana . .. Click to expand... Wala usihofu, kwani hata mada yenyewe pia inasema hivyo. So km umefikia ktk ccm busara zoeleka zinakimbia sina cha kufanya.
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,572 Dec 9, 2016 #123 Nicholas said: Wala usihofu, kwani hata mada yenyewe pia inasema hivyo. So km umefikia ktk ccm busara zoeleka zinakimbia sina cha kufanya. Click to expand... Dah! kweli wewe ni mzalendo . ..barikiwa sana . .uwe na siku njema
Nicholas said: Wala usihofu, kwani hata mada yenyewe pia inasema hivyo. So km umefikia ktk ccm busara zoeleka zinakimbia sina cha kufanya. Click to expand... Dah! kweli wewe ni mzalendo . ..barikiwa sana . .uwe na siku njema
ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 10,292 Reaction score 4,967 Dec 11, 2016 #124 Vonix said: Kweli ndege wa aina moja huruka pamoja lakini hiyo mikataba ni uongo hamna kitu hapo maana TZ na Moroko wote ni wasanii tu. Click to expand... Hahhahahah wamejipanga wapiga deal
Vonix said: Kweli ndege wa aina moja huruka pamoja lakini hiyo mikataba ni uongo hamna kitu hapo maana TZ na Moroko wote ni wasanii tu. Click to expand... Hahhahahah wamejipanga wapiga deal
Nicholas JF-Expert Member Joined Mar 7, 2006 Posts 25,260 Reaction score 7,217 Dec 12, 2016 #125 ISIS said: Dah! kweli wewe ni mzalendo . ..barikiwa sana . .uwe na siku njema Click to expand... Amen...
ISIS said: Dah! kweli wewe ni mzalendo . ..barikiwa sana . .uwe na siku njema Click to expand... Amen...
GHIBUU JF-Expert Member Joined Jan 13, 2011 Posts 4,432 Reaction score 3,016 Dec 12, 2016 #126 Hata hio mkukuta siamini kwa sababu inatumika na chama kile cha bwana yule
ISIS JF-Expert Member Joined Apr 20, 2016 Posts 96,072 Reaction score 858,572 Dec 12, 2016 #127 Nicholas said: Amen... Click to expand... Amen RA