Je wataka kupendwa au kupenda? PM kwangu......

Magu
ndio nini hii dear..
Je ume delete old PMsss
Maana unavyopendwa hapa MMU
Zitaingia kwa fujo mmmhhhh
 
We embu achana na huyo tapeli....,

wewewe lizzy wewewe? tayari wewe unasubiria Magu tu aweke post uiteke...Nimekutapeli nini sasa dear? Sahau ile kitu ilikuwa uterezi tu na sio kuanguka jamani....
 
Jamani Lizzy mieBado nampenda Maguu ajili ya poemZake eti.. embu nenda kule kwenye ile thead Yako ya JF mobile

Dear utamuweza Lizzy? Aliendaga sijui kwa mganga kusaka mapenzi? aliyoyapata mie tu najua....
 
We embu achana na huyo tapeli....,

Lizzy mambo yetu ya nini hapa kwenye veranda bwana? mpaka kila mtu ajue? tuyaachie mioyoni mwetu na sio kuitana matapeli sasa....mie hata kutapeli sijui eti...
 
usijali mpenzi, hadi unipe kibali cha kumPM ndio nitafanya hvyo. Upo poa eeh?

hapo nimetulia! Yani wewe ndiye wa moyo wangu, na ndie kila kitu. Ukinisaliti basi ujue ni kama unambeba mwanao mchanga na kumtia kwenye pipa la tindikali!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom