Je, wanyama wana hisia na silika?

Your browser is not able to display this video.
 
 
Wana silika za takafuri?
Silika za utafiti?
Silika za kushangaa?View attachment 3160069
Wanyama wanahisia, silka, hulka na tabia tofauti kulingana na aina ya mnyama.
Wanyama hupokea taarifa, kutoa taarifa kwa wanyama wenzao kwa njia tofauti tofauti.
Wanyama wanacommunicate vizuri tu na binadamu.
Kwa waliowahi kuchunga mifugo au kuishi na mifumo.
Unaweza kuwasiliana na ng'ombe, mbwa, paka au mbuzi na mkaelewana vizuri tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…