Je, Wanayofanya wanawake hawa ni sawa?

Hii VIDEO haifai, kila kitu kinaonekana.

Nyapu yote inaonekana na vile anavyojimanua miguu huku mwishoni yule alie uchi wa mnyama, ni kichefuchefu na aibu.

Tunaomba wahusika huu uzi muupeleke jukwaa la wakubwa, huku haufai hata kidogo
We unaanza kukemea huku ambako mtu anaaangalia kwa chaguo lake unasahau mitaani ambapo watoto na si watu wazima wanaona live.
Ifike mahali tujue whats the priority..
 
We unaanza kukemea huku ambako mtu anaaangalia kwa chaguo lake unasahau mitaani ambapo watoto na si watu wazima wanaona live.
Ifike mahali tujue whats the priority..
Sijakemea, nimesema kwa lengo jema.

Ujue mtu kama mimi sijawahi kuona vitu kma hivi mitaani, na hata kama nisikie kuna sehemu mtaani wanafanya hivyo, siwezi kusogea kuangalia.

Nikiangalia ndio kama hivi, ikitundukwa Video yoyote ya ajabu hapa JF.

Lakini mimi mwenyewe binafsi kudhamiria kwenda kuangalia siwezi, hapana
 
Mimi siwezi fanya huo upumbavu pia. Ila kama mwanadamu unatakiwa ufikirie majority kwa sababu kuna na wadogo zako pia ambao hawatakua na akili kama zako.
Kuna miwanawake minguruwe inaenda kufanya uo uhuni na watoto migongoni wamewabeba kweli?
.......
Mi naona hata kufungia kazi za wasanii mitandaoni na wakati mitaani watu wanaona ULTRA PREMIUM HD hamna maana.
 
Haya basi
 
Mimi siwashangai hao wanawake, ila nawashangaa hao wanaume ambao wanaweza kuwepo hapo wakipiga hayo mangoma alafu wako normal. Duuuh, kweli WANAUME WA DAR
 
Mambo ya kawaida mbona ng'ombe akitaka kunya aendi chooni just ana binua mkia juu anakunya....ata hao walibanwa wakabinua nguo waka....
 
dah
 
dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…