Je wanaweza hii!

Je wanaweza hii!

LexAid

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,931
Reaction score
774
WanaJF katika pita pita yangu nimekutana na hii picha na imenifurahisha sana jinsi hiki chama cha upinzani Tanzania kilivyoonyesha Uzalendo na mfani bora. Je chama tawala kinaweza hili? kama sio wanachojua ni kuwatupia mawe na ugomvi tuu kwa wapinzani?

attachment.php
 
Hiyo misukule imeshiba ubwabwa wa CCM hadi mpira wa nyuma wa gari umepungua pumzi...
 
Nimeipenda sana sana naisevu kwa deskitop yangu
 
WanaJF katika pita pita yangu nimekutana na hii picha na imenifurahisha sana jinsi hiki chama cha upinzani Tanzania kilivyoonyesha Uzalendo na mfani bora. Je chama tawala kinaweza hili? kama sio wanachojua ni kuwatupia mawe na ugomvi tuu kwa wapinzani?

attachment.php

Walikosa nauli ikabidi wajisalimishe kwa makamanda1 ha ha ha ha ha ha!
 
wenyewe wanawachukua kwa kadi hawa wanawachukua kwa pickup, safi sana, hata mm juzi tu nilipanda gari la Yanga kwenda mpirani
 
Back
Top Bottom