Na ni miongoni mwa Nchi yenye ubadhirifu mkubwa.Nchi inayoongoza kwa kodi duniani ni Tanzania, lakini ni miongoni mwa nchi masikini kabisa duniani.
Hakuna anayekataa kutoa Kodi. Tatizo ni ukubwa wa tozo. Halafu kwann tulipe TOZO wakati KODI tunalipa???Ni lazima tujue bila makusanyo tutarudi kuwa watu wa kulalamika tu. Serikali isifanye kodi kisiasa
Tatizo siyo kodi tatizo kubwa matumizi. Kwa ujumla ubadhirifuNa huko juu waache ubadhirifu maana kila ripoti ya CAG ikitoka yamepigwa mabilioni kadhaa....mkitoka hapo chimbo lenu ni Wanainchi kwa kuwashindilia matozo na makodi.
Halafu hao wanaopata vya bure kwa asilimia kubwa ndiyo ambao hawalipi kodiAcha ujinga Dogo, waliozoea vya bure ni viongozi maana kila kitu kwao ni bure, huku wakiwa na mishahara minono. Sasa kama marais, mawaziri wakuu, majaji, viongozi wa vyombo vya dola wastaafu, wanalipwa mpaka wafe huku hawafanyi lolote, nani anapenda bure hapo? Acha kupandisha hasira za watu tusije tukaingia mtaani hata kesho, mpuuzi mkubwa ww.
Inaelekea Tanzania tuna tatizo la wananchi kuzoea bure na misaada. Ukiangalia hata mijadala mingi watu wanaongea na kuandika kama vile kila kitu inatakiwa serikali kutoa.
Hatuwezi kuwa na machinga kila mahali hawalipi kodi halafu tushangae kodi kuongezeka kwenye simu. Ni lazima tujue bila makusanyo tutarudi kuwa watu wa kulalamika tu. Serikali isifanye kodi kisiasa