Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,887
Je Mungu kapanga mm nitaingia motoni au peponi..?Mkuu kila kitu nimpango wa Mungu, kama mtu huijui kesho yako kuna haja gani ya kujisifu!!
katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..free will tuitoe wapi ??wakati tumeambiwa kuwa binaadamu anakufa kwa sababu adamu na Hawa ambao ndio binaadamu wakwanza kwa mujibu wa imani walikula tunda """
kwahiyo binaadamu wote tunaitumikia adhabu ya watu ambao hata kuwa jua hatuwajui ...na bado watu tunaimba na kumsifu Mungu anayetuadhibu kwaajili ya makosa ya watu wengine ..Mungu ambaye ndiye muweza na mjuzi wa yote. ..means alikuwa anajua fika at a muumba binaadamu na atashindwa kufuata baadhi ya sheria zake kisha akamuandalia moto aje kumchoma ...hapa waweza kuona kuwa Mungu huyu ni Mungu wa visasi kama serikali ya bakayoko ...
upo hapo coz uliamua uwe hapo,au mapenzi ya mungu yamefanya uwe hapo?I think tunayo free will coz you are the one ambaye unaa amauu kuhusu wewe and God bless us what we want and what we want to be
upo hapo coz uliamua uwe hapo,au mapenzi ya mungu yamefanya uwe hapo?
hoja yako hii inakupatia jibu LA wazi kabisaa kuwa hatuna free will"""katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
Ngumu kumezaJe Mungu kapanga mm nitaingia motoni au peponi..?
Kuna maswali magum sanaa hili nalo ni moja wapoNgumu kumeza
Wewe utakuwa kuni kwa wengineJe Mungu kapanga mm nitaingia motoni au peponi..?
Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
Look Forest Hill!Habari zenu wakuu,swali Hilo linanisumbua Sana,je Ni kweli tuna uwezo WA kuamua nini cha kufanya juu ya maisha yetu??je tuna uwezo WA kuchagua wema au ubaya??sio hatma yetu imeshaamriwa kabla??nimesoma thread ya member flani akizungumzia kisa cha Yuda na Yesu,je yuda alikua na free will au tayari ishapangwa aje amsaliti yesu???..karibuni..
Daah kwaiyo kama mzee wangu alibaka namie nitaukumiwa kwa kosa la kubaka..!katika amri za mungu ya pili anasema "nami nawaptiliza wana na maovu ya Baba zao,hata kizazi cha tatu na cha nne wanichukiao...so kama mzee Wako alikosa,,utahukumiwa hadi wewe..
hatunaUnajua me nashindwa ata kijibu swali eeeh. Nimesha changanyikiwa apa
Sielewe ivi tuna free will au hatuna.?
hahaaaWewe utakuwa kuni kwa wengine
hivi umemuelewa kweli ?? basiii kama ndivyo ninafuu ya uongozi wa serikali zilizopo duniani kuliko hizo dini ..maana serikali zilizpo huku huwezi kukuta zikimuhukumu mtu kwakosa LA babu ama bibi yake ..nakama patakuwa na nchi zenye desturi hiyo niwazi zitakuwa zimeshapigiwa kelele mno nakuonekana kuwa hazifai ..sasa vipi kuhusu hzi dini zetu leo zionekane kuwa zinafaa wakati zinatoa hukumu kwa mjukuu kwaajili ya kesi ya babu ...hiyo nihaki ??Daah kwaiyo kama mzee wangu alibaka namie nitaukumiwa kwa kosa la kubaka..!hapa dini ndio inapoanza kuwa ngumu