Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

Je wana JF wengi walisoma /wanasoma Chuo gani?

johnshedo

Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
98
Reaction score
6
Kutokana na matambo mengi vya Vyuo je Wengi humu wapo au walisoma Vyuo gan heb tupia Chuo chako hapa.. 😳
 
Hahah.. Mm Nipo NIT tuu wala sipo kwa wapenda sifa..
 
Kwani chuo cha vipanga hakijulikani...???
 
UNIVERSITY OF LOVE SCIENCE AND WOMANIZATION........nataka nijikite zaidi kwenye somo la kuzama chumvini...
 
Idnt care bwt xkul moneyfirst hustles college..!!
 
Mwaka wa kwanza nlisoma UDSM wa pili nkatupia MUHAS wa tatu nkaona nende ARDHI na mwaka wa 4 nkawepo UDOM na sasa namalizia wa 5 DIT ww je mkuu?
 
Back
Top Bottom