unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 484
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Niende kwenye mada, binafsi nimekuwa nikimfuatilia Pascal Mayalla kwa muda mrefu mno. Nakiri wazi wazi jamaa ni mfano wa kuigwa kwa tulio wengi. Ametukanwa na baadhi ya watu matusi ya kila aina ila jamaa anajibu very wisely. Hiki ni kitu kikubwa kwangu cha kujifunza.
Wengi wanamsakama humu kwenye mabandiko yake, ila jamaa anatufundisha kitu kikubwa sana tulio wengi humu jukwaani. Ile dhana ya kusema 'usijali maneno yao' Pascal anaiishi live kabisa katika maisha halisi. Ile dhana ya ukomavu wa akili basi Pascal ni MFANO BORA kabisa, anaiishi live kabisa kwa matendo yake na reactions zake humu jamvini.
Natangaza wazi kuwa, ninaiga kuanzia leo spirit hii ya Pascal Mayalla, na yeyote mwenye akili ataungana na mimi katika hili. Kwa kweli Pascal ametufundisha tulio wengi nini maana ya nidhamu binafsi na kujiheshimu. Watanzania wengi tungekuwa kama Pascal hili Taifa lingeingia uchumi wa juu zamani mno.
Abarikiwe sana Pascal Mayalla.
NB;
Nimeandika nikiwa na akili timamu pasi kulazimishwa wala kutishiwa na yeyote.