Majibu kwa BAVICHA

blackeye

JF-Expert Member
Mar 28, 2016
300
95
*“BAVICHA NA AKILI ZA KUSHIKIWA”*

Na Alex Mhando

Ni ajabu katika ulimwengu wa sasa kuona kijana ambaye ni tegemeo kwa kuleta mawazo mapya yenye tija kwa Taifa, lakini unakuta kijana huyo anakuwa bado anategemea akili za mwingine katika kuzungumza au kujenga hoja ambazo hazina tija wala uhalisia either kwa kununuliwa au kwa ujinga tu. Katika hali ya kushangaza tarehe 3 juni, 2016 Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) walitoa taarifa yao kupitia katibu wao wa BAVICHA yenye kichwa cha habari “RAIS MAGUFULI AOMBE RADHI WANAFUNZI KWA KAULI ZA UPOTOSHAJI” Baada ya Rais kuzungumza na hadhira kubwa ya chuo kikuu Dar es salaam siku ya alhamisi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba mpya ya kisasa Afrika Mashariki na Kati. Nimeisoma Taarifa ya BAVICHA kwa umakini mkubwa nikagundua mambo mengi sana ambayo kwa ujumla ni kwamba vijana hawa wa CHADEMA wanatumia akili za kushikiwa. Kwanza BAVICHA hawana nguvu yoyote kisheria kumuomba au kumtaka Rais aombe radhi kwa jambo lolote Rais atakalofanya au kusema, huku kumuomba Rais aombe Radhi ni kuonesha kuwa BAVICHA ni Vijana wasio kuwa na Nidhamu hata mbele ya wazazi wao.

Katika taarifa yao BAVICHA wametoa hoja za kukurupuka ambazo walitakiwa kuuliza au kufanyia utafiti ili wapate majibu kabla ya kuzungumza katika umma. Tamko lao limekuwa na hoja zifuatazo:

1. “Kwanini Rais akataze wanafunzi vyuo vikuu kutumiwa na wanasiasa wakati CCM ina shirikisho la vyuo vikuu linalofanya siasa vyuoni? Na pia raisi afute masomo ya siasa vyuo vikuu” Jibu: Hoja hii nilishangaa sana kuona BAVICHA wanaizungumza hali wakijua kabisa kuna tofauti ya kushiriki siasa ya Chama chako ukiwa chuo kikuu, kusoma siasa kama moja ya fani au taaluma inayosomwa chuo kikuu (Political science) na kutumika na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi ni vitu vitatu tofauti. BAVICHA lazima mjue Rais amewaonya na kuwataka wanafunzi waepuke kutumika vibaya na wanasiasa mfano kufanya migomo hali njia za kusolve changamoto mbali mbali zipo, Lazima mjue kusikiliza hotuba vizuri, Raisi hajakataza wala kufuta masomo ya siasa vyuoni mfano Political science na wala hajakataza Vijana kushiriki siasa za vyama vyao katika njia nzuri hali wakiwa vyuo vikuu ndio maana kuna Taasisi ya Shirikisho la Vyuo Vikuu la CCM ambayo ipo kisheria na hata CHADEMA taasisi kama hii ipo ambayo inawanafunzi wavyuo vikuu wanaoshiriki siasa chama chao inayojulikana kama “CHADEMA STUDENTS ORGANISATION” (CHASO), kwa hiyo BAVICHA msiwekama nyumbu wenzenu mjifunze kutofautisha dhana hizi tatu, Kusoma masomo ya siasa mfano political science, kutumika vibaya na wanasiasa na ushiriki wa vijana wasomi katika siasa ya chama chao wakiwa Vyuo Vikuu.

2. “Rais aombe radhi kwa kuwaita wanafunzi wa vyuo vingine vilaza” Jibu: Kwa hoja hii ya BAVICHA kusema kuwa Rais amewaita wanafunzi wa vyuo vingine vilaza mnatakiwa kumuomba radhi Raisin a watazania kwani hakuna sehemu kwenye hotuba ya Rais ambayo kwa Bahati nzuri nimekuwepo kwenye siku hiyo Rais alipohutubia pale Chuo kikuu Dar es Saalam hakunasehemu aliyesema vyuo vingine vilaza. Baada ya kuona hoja hii nilisikitika sana nakujiuliza baadhi ya mswali, Je, BAVICHA wote wanamatatizo ya kusikia ili wakatibiwe?, au je, BAVICHA uwezo wao kuelewa hotuba za viongozi ni mdogo? au Je, BAVICHA ni vilaza kiwango cha lami hata shule mlikimbia umande? , kwa maana kama ulimsikiliza Rais vizuri hakunasehemu aliyosema vyuo vingine wala chuo chochote ni Vilaza bali Rais alisisitiza swala la ubora wa elimu na kusema hataki kudahiliwa kwa wanafunzi wasio na sifa na akawazungumzia wanafunzi wa UDOM waliorudishwa nyumbani kwa kukosa sifa ambao ndio alisema wale waliokosa sifa ambao ni wanafunzi wa kidato cha nne waliopata division Four kuwa hawakustahili kudahiliwa kwenye ngazi ya shahada na akamtaka waziri wa elimu apitie upya majina wale wenye sifa waliopata Div 1 na Div 2 watatafutia vyuo wakasome ngazi ya elimu inayolingana na sifa zao. Na alitoa mfano wa vyuo ambao wanafunzi hao wapo na kutaja ni UDOM na St. JOSEPH. Kwa hiyo BAVICHA muombe radhi kwa upotoshaji huu kwani uugwana ni vitendo.

3. “Rais anawabagua na kuwadhalilisha wanafunzi kwa kuwaita vihiyo wale waliorudishwa nyumbani chuo cha UDOM”. Jibu: Kwa hili naomba niwakumbushe tena kuwa Rais hajawabagua wala kuwadhalilisha wanafunzi bali Rais ametoa mifano mingi tu katika hotuba yake pamoja na Maelekezo mazuri tu ambayo yapo kisheria na kumtaka waziri ayatekeleze. Swala la kusema vihiyo sio kuwadhalilisha wanafunzi kwani neno “kiyiyo” ni neno linalotumika kwa mtu yeyote anayekuwa katika nafasi ambayo ni kubwa kuliko uwezo wake na kumfanya akose sifa za kuwa nafasi hiyo, mfano huwezi maliza form four nakupata Div Four halafu ukaenda kusoma Degree, hapo lazima utaitwa kuhiyo lakini ukienda kusoma ngazi ya cheti hutaitwa kihiyo kwani ndio ngazi yako unayostahili, Kwa hiyo BAVICHA jaribuni kutafuta kujifunza ili muwe na hoja zenye mashiko na weredi na sio kukurupuka kutoa hoja za kinyumbu. Pia mjue sheria mnayoitaja kuwa ilitumika kuwaweka wanafunzi hao chuoni ndio hiyihiyo Rais aliyomtaka Waziri aitumie kuwatafutia nafasi wanafunzi wale wenye sifa kwani sheria hiyo Namba 4 ya Mwaka 2014 haijasema aliyepata Div 4 aende akasome shahada. Kwa hiyo mtambue Rais anajua Sheria kuliko ninyi BAVICHA.

4. “Rais kusema Kuwepo kwa barabara hewa, mnahoji je, serikali ipi ilijenga Barabara hizo na waziri yupi alizimamia na awajibishwe” Jibu: Lazima mjifunze kujua kuwa serikali inapofanya kazi serikali yoyote ile Duniani inayojua wajibu wake lazima ijitathmini na kuona wapi pana upungufu ili irekebishe, na formula hii inatumika hata katika maisha ya kawaida ya kila siku, unapofanya jambo lolote kujitahmini na kugundua upungufu ili urekebishe hiyo ndio busara na weredi, Rais kufanya tathmini na kuona kusema kuna barabara zenye upungufu na kusema zitarekebishwa ni jambo zuri na sio swala la kuhoji eti, serikali gani imejenga hizo barabara? Jua ni serikali ya CCM ndio imejenga hizo barabara na ni serikali bora hiyohiyo ya CCM inayojitathmini kila siku na kurekebisha mambo mbalimbali kwa muskabali wa maendeleo ya nchi yetu. BAVICHA lazima mjifunze uongozi mjue uongozi ni nini kiongozi anatakiwa aweje na afanyeje shunguli zake. Mwl Nyerere alipokuja na kitabu cha “TUJISAHIHISHE” , ni kutuonesha kuwa kiongozi bora ni Yule anayejitathmini na kujisahihisha kama ilivyo serikali ya CCM kila mara inajitathmini na kujisahihisha na ndio maana inapendwa na watanzania na kuchaguliwa kila uchaguzi.

MWISHO:

Ni wakati wa Vijana wote Tanzania kumuunga mkono Rais na serikali yake na sio kuleta siasa zisizo na tija kwa Taifa letu kwa sasa. BAVICHA mjifunze kubadilika siasa za maji taka na Hoja zisizo na tija ambazo zina lengo la kubomoa na sio kujenga hazifai kwa sasa. Niwatake BAVICHA muweke maslahi ya Taifa mbele na sio kutumika na wanasiasa uchwara kuleta hoja fitinishi na kukurupuka kwenu bila jitambua kama nyie ni vijana bado mnasafari ndefu ya maisha ya kisiasa. Muache siasa za uzandiki na chuki kwani haziwapi faida yoyote na wala hazina nafasi kwa sasa, watanzania wengi kwa sasa ni waelewa sana hawadanganyiki kwa kuchafua watu au kuleta hoja za kuwalaghai na kuwapotosha, Jifunzeni upya siasa.

By Alex Mhando.

Mzalendo
 
Mimi swali langu ni hili; Huyu KILAZA anayeitwa Jesca John Magufuli ambaye naye ana ufaulu wa division 4 na anasomea shahada ya Rasilimali Watu hapo hapo UDOM, ana tofauti gani na hao VILAZA wa Special Diploma waliofurushwa toka chuoni, mbona naye hafukuzwi, au ndo mkuki kwa nguruwe ila kwa binadamu huwa mchungu? Baba Jesca haaminiki tena mbele ya watanzania na tunamshukuru Zitto kwa kutuhakikishia kwamba huyu mtu (Baba Jesca) hana uwezo wa kuchambua mambo kwa undani, anachoweza ni kuokoteza maneno barabarani na kuropoka huku akishindwa kuchukua hatua sahihi kuhusu jambo analolilalamikia, mfano, ni kuhusu issue ya wafanyakazi hewa pale BoT, hadi leo hakuna hatua zozote zilizochukuliwa, hii inadhihirisha kwamba baba Jesca aliropoka kama kasuku.
 
*“BAVICHA NA AKILI ZA KUSHIKIWA”*

Na Alex Mhando

Ni ajabu katika ulimwengu wa sasa kuona kijana ambaye ni tegemeo kwa kuleta mawazo mapya yenye tija kwa Taifa, lakini unakuta kijana huyo anakuwa bado anategemea akili za mwingine katika kuzungumza au kujenga hoja ambazo hazina tija wala uhalisia either kwa kununuliwa au kwa ujinga tu. Katika hali ya kushangaza tarehe 3 juni, 2016 Baraza la Vijana CHADEMA (BAVICHA) walitoa taarifa yao kupitia katibu wao wa BAVICHA yenye kichwa cha habari “RAIS MAGUFULI AOMBE RADHI WANAFUNZI KWA KAULI ZA UPOTOSHAJI” Baada ya Rais kuzungumza na hadhira kubwa ya chuo kikuu Dar es salaam siku ya alhamisi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Maktaba mpya ya kisasa Afrika Mashariki na Kati. Nimeisoma Taarifa ya BAVICHA kwa umakini mkubwa nikagundua mambo mengi sana ambayo kwa ujumla ni kwamba vijana hawa wa CHADEMA wanatumia akili za kushikiwa. Kwanza BAVICHA hawana nguvu yoyote kisheria kumuomba au kumtaka Rais aombe radhi kwa jambo lolote Rais atakalofanya au kusema, huku kumuomba Rais aombe Radhi ni kuonesha kuwa BAVICHA ni Vijana wasio kuwa na Nidhamu hata mbele ya wazazi wao.

Katika taarifa yao BAVICHA wametoa hoja za kukurupuka ambazo walitakiwa kuuliza au kufanyia utafiti ili wapate majibu kabla ya kuzungumza katika umma. Tamko lao limekuwa na hoja zifuatazo:

1. “Kwanini Rais akataze wanafunzi vyuo vikuu kutumiwa na wanasiasa wakati CCM ina shirikisho la vyuo vikuu linalofanya siasa vyuoni? Na pia raisi afute masomo ya siasa vyuo vikuu” Jibu: Hoja hii nilishangaa sana kuona BAVICHA wanaizungumza hali wakijua kabisa kuna tofauti ya kushiriki siasa ya Chama chako ukiwa chuo kikuu, kusoma siasa kama moja ya fani au taaluma inayosomwa chuo kikuu (Political science) na kutumika na wanasiasa kwa maslahi yao binafsi ni vitu vitatu tofauti. BAVICHA lazima mjue Rais amewaonya na kuwataka wanafunzi waepuke kutumika vibaya na wanasiasa mfano kufanya migomo hali njia za kusolve changamoto mbali mbali zipo, Lazima mjue kusikiliza hotuba vizuri, Raisi hajakataza wala kufuta masomo ya siasa vyuoni mfano Political science na wala hajakataza Vijana kushiriki siasa za vyama vyao katika njia nzuri hali wakiwa vyuo vikuu ndio maana kuna Taasisi ya Shirikisho la Vyuo Vikuu la CCM ambayo ipo kisheria na hata CHADEMA taasisi kama hii ipo ambayo inawanafunzi wavyuo vikuu wanaoshiriki siasa chama chao inayojulikana kama “CHADEMA STUDENTS ORGANISATION” (CHASO), kwa hiyo BAVICHA msiwekama nyumbu wenzenu mjifunze kutofautisha dhana hizi tatu, Kusoma masomo ya siasa mfano political science, kutumika vibaya na wanasiasa na ushiriki wa vijana wasomi katika siasa ya chama chao wakiwa Vyuo Vikuu.

2. “Rais aombe radhi kwa kuwaita wanafunzi wa vyuo vingine vilaza” Jibu: Kwa hoja hii ya BAVICHA kusema kuwa Rais amewaita wanafunzi wa vyuo vingine vilaza mnatakiwa kumuomba radhi Raisin a watazania kwani hakuna sehemu kwenye hotuba ya Rais ambayo kwa Bahati nzuri nimekuwepo kwenye siku hiyo Rais alipohutubia pale Chuo kikuu Dar es Saalam hakunasehemu aliyesema vyuo vingine vilaza. Baada ya kuona hoja hii nilisikitika sana nakujiuliza baadhi ya mswali, Je, BAVICHA wote wanamatatizo ya kusikia ili wakatibiwe?, au je, BAVICHA uwezo wao kuelewa hotuba za viongozi ni mdogo? au Je, BAVICHA ni vilaza kiwango cha lami hata shule mlikimbia umande? , kwa maana kama ulimsikiliza Rais vizuri hakunasehemu aliyosema vyuo vingine wala chuo chochote ni Vilaza bali Rais alisisitiza swala la ubora wa elimu na kusema hataki kudahiliwa kwa wanafunzi wasio na sifa na akawazungumzia wanafunzi wa UDOM waliorudishwa nyumbani kwa kukosa sifa ambao ndio alisema wale waliokosa sifa ambao ni wanafunzi wa kidato cha nne waliopata division Four kuwa hawakustahili kudahiliwa kwenye ngazi ya shahada na akamtaka waziri wa elimu apitie upya majina wale wenye sifa waliopata Div 1 na Div 2 watatafutia vyuo wakasome ngazi ya elimu inayolingana na sifa zao. Na alitoa mfano wa vyuo ambao wanafunzi hao wapo na kutaja ni UDOM na St. JOSEPH. Kwa hiyo BAVICHA muombe radhi kwa upotoshaji huu kwani uugwana ni vitendo.

3. “Rais anawabagua na kuwadhalilisha wanafunzi kwa kuwaita vihiyo wale waliorudishwa nyumbani chuo cha UDOM”. Jibu: Kwa hili naomba niwakumbushe tena kuwa Rais hajawabagua wala kuwadhalilisha wanafunzi bali Rais ametoa mifano mingi tu katika hotuba yake pamoja na Maelekezo mazuri tu ambayo yapo kisheria na kumtaka waziri ayatekeleze. Swala la kusema vihiyo sio kuwadhalilisha wanafunzi kwani neno “kiyiyo” ni neno linalotumika kwa mtu yeyote anayekuwa katika nafasi ambayo ni kubwa kuliko uwezo wake na kumfanya akose sifa za kuwa nafasi hiyo, mfano huwezi maliza form four nakupata Div Four halafu ukaenda kusoma Degree, hapo lazima utaitwa kuhiyo lakini ukienda kusoma ngazi ya cheti hutaitwa kihiyo kwani ndio ngazi yako unayostahili, Kwa hiyo BAVICHA jaribuni kutafuta kujifunza ili muwe na hoja zenye mashiko na weredi na sio kukurupuka kutoa hoja za kinyumbu. Pia mjue sheria mnayoitaja kuwa ilitumika kuwaweka wanafunzi hao chuoni ndio hiyihiyo Rais aliyomtaka Waziri aitumie kuwatafutia nafasi wanafunzi wale wenye sifa kwani sheria hiyo Namba 4 ya Mwaka 2014 haijasema aliyepata Div 4 aende akasome shahada. Kwa hiyo mtambue Rais anajua Sheria kuliko ninyi BAVICHA.

4. “Rais kusema Kuwepo kwa barabara hewa, mnahoji je, serikali ipi ilijenga Barabara hizo na waziri yupi alizimamia na awajibishwe” Jibu: Lazima mjifunze kujua kuwa serikali inapofanya kazi serikali yoyote ile Duniani inayojua wajibu wake lazima ijitathmini na kuona wapi pana upungufu ili irekebishe, na formula hii inatumika hata katika maisha ya kawaida ya kila siku, unapofanya jambo lolote kujitahmini na kugundua upungufu ili urekebishe hiyo ndio busara na weredi, Rais kufanya tathmini na kuona kusema kuna barabara zenye upungufu na kusema zitarekebishwa ni jambo zuri na sio swala la kuhoji eti, serikali gani imejenga hizo barabara? Jua ni serikali ya CCM ndio imejenga hizo barabara na ni serikali bora hiyohiyo ya CCM inayojitathmini kila siku na kurekebisha mambo mbalimbali kwa muskabali wa maendeleo ya nchi yetu. BAVICHA lazima mjifunze uongozi mjue uongozi ni nini kiongozi anatakiwa aweje na afanyeje shunguli zake. Mwl Nyerere alipokuja na kitabu cha “TUJISAHIHISHE” , ni kutuonesha kuwa kiongozi bora ni Yule anayejitathmini na kujisahihisha kama ilivyo serikali ya CCM kila mara inajitathmini na kujisahihisha na ndio maana inapendwa na watanzania na kuchaguliwa kila uchaguzi.

MWISHO:

Ni wakati wa Vijana wote Tanzania kumuunga mkono Rais na serikali yake na sio kuleta siasa zisizo na tija kwa Taifa letu kwa sasa. BAVICHA mjifunze kubadilika siasa za maji taka na Hoja zisizo na tija ambazo zina lengo la kubomoa na sio kujenga hazifai kwa sasa. Niwatake BAVICHA muweke maslahi ya Taifa mbele na sio kutumika na wanasiasa uchwara kuleta hoja fitinishi na kukurupuka kwenu bila jitambua kama nyie ni vijana bado mnasafari ndefu ya maisha ya kisiasa. Muache siasa za uzandiki na chuki kwani haziwapi faida yoyote na wala hazina nafasi kwa sasa, watanzania wengi kwa sasa ni waelewa sana hawadanganyiki kwa kuchafua watu au kuleta hoja za kuwalaghai na kuwapotosha, Jifunzeni upya siasa.

By Alex Mhando.

Mzalendo
Na wewe unavizia udc? maneno mengi andiko limejaa pumba tupu? Uliambiwa hao wanafunzi waliofukuzwa UDOM walikuwa wanasoma shahada?
 
BAVICHA, hawana ajenda za msingi, wamebaki kumsafisha Lowasa na kupinga serikali badala ya kuweka mikakati ya kujenga chama, nonsense
 
Hahaaaa!! Hotuba ya first year wa kiangazi!! Pumba tupu.

Back
Top Bottom