Je walimu wamegoma? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je walimu wamegoma?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, Jul 30, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,725
  Likes Received: 347
  Trophy Points: 180
  Naomba kujua ikiwa kama walimu wametii amri ya chama chao, ya kwamba kimeshindwa kufikia suluhu hivyo wagome au wametii kauli ya serikali inayoema "suala lipo mahakamani" hivyo waendelee na kazi.
  Habari za huu mgomo zilianza siku nyingi, napenda kujua uhalisia wake.
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  ngoja nipite mashuleni nijionee
   
 3. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #3
  Jul 30, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,561
  Trophy Points: 280
  Huku maeneo ya shule ya msingi kimbangulile mgomo unaendelea vzr
   
 4. R

  Robert Mlimira New Member

  #4
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 29, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba jamaa wanapika chai majumbani mwao! Full kugoma!
   
 5. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #5
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,785
  Likes Received: 6,278
  Trophy Points: 280
  Walimu walishaanza mgomo wa chinichini muda mrefu sana. Matokeo mabovu ya mitihani ni dalili mojawapo
   
 6. J

  Jamboleo Member

  #6
  Jul 30, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  walimu endeleeeni kugoma mmedharauliwa vya kutosha, kazi gani hata mtoto mdogo haipendi!!!!!!!!!
   
 7. A

  Asa79 JF-Expert Member

  #7
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 591
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti mgomo wa madaktari umeisha?
   
 8. k

  kapachiro New Member

  #8
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Walimu imedhirisha jinsi gani mlivyo choka kuonewa.... Safi sana
   
 9. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Who said so?
   
 10. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #10
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Mgomo unaendalea kama kawaida na hata hapa ninapopost hii kitu watoto hapa Arusha sec. wapo tu wanapiga kelele madarasani .
   
 11. S

  Slaker JF-Expert Member

  #11
  Jul 30, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Naionea huruma tz ya watoto wa kabwelah ya baadae........
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Jul 30, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Haki gani inatendewa haki ?
   
 13. paul vicent

  paul vicent Member

  #13
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 44
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Habari nizozipata muda si mrefu ,ni kwamba wanafunzi huko tunduma wameandamana kuishinikiza serikari kukubari kuwasikiliza walimu madai yao,Askali walijaribu kutawanya maandamano na kusababisha vurugu kuzuka kupelekea kuchomwa moto baadhi ya majengo ya halmashauri
   
 14. N

  NAS THE GREAT Member

  #14
  Jul 30, 2012
  Joined: Apr 22, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo kiomboi iramba,huku mgomo kama kawa! walimu wa k'bomani,shelui,misigiri,chemchem,ibaga,nduguti,lugongo n.k wamegoma
   
Loading...