muuza_unga
New Member
- Jul 29, 2014
- 2
- 0
Je, wajua...? Watu wa mwabepande wamekubali viwanja vyao vipimwe na kupatiwa hati baada ya kuwa na kikao na waziri wa ardi, Mama na professor: ANNA TIBAIJUKA.Wakati wengine wanatangaza nia zao na siasa, wengine wanafanya kazi.....tumechoka siasa na midahalo isiyo na tija......tunataka wafanyakazi.
:by wasaka_ tonge
:by wasaka_ tonge