Dah! imenikumbusha mbali sana, 16th February 1986 Sunday ndio siku nilizaliwa, Hata jina langu SUDAY linatokana na neno SUNDAY ila sijui nesi au dokta wa zamu alikosea spelling kwenye hati ya kuzaliwa akaandika SUDAY ambalo natumia mpaka leo, now this year (2014) I will be selebrating my birthday on the same day I born (SUNDAY)