donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,139
JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako:-
1: Andika namba ya kiatu chako.
2: Zidisha kwa5.
3: Jumlisha 50
4: Zidisha kwa 20
5: Jumlisha 1013
6: Toa mwaka uliozaliwa...
7: Namba mbili za mwanzo ni saizi ya kiatu na namba mbili za mwisho ni miaka yako.
Waliokimbia hesabu hapa lazima wapite
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe
Waaa ni kweli au ndo jokes side
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako:-
1: Andika namba ya kiatu chako.
2: Zidisha kwa5.
3: Jumlisha 50
4: Zidisha kwa 20
5: Jumlisha 1013
6: Toa mwaka uliozaliwa...
7: Namba mbili za mwanzo ni saizi ya kiatu na namba mbili za mwisho ni miaka yako.
JE WAJUA? Kiatu chako kinaweza kukuambia umri wako:-
1: Andika namba ya kiatu chako.
2: Zidisha kwa5.
3: Jumlisha 50
4: Zidisha kwa 20
5: Jumlisha 1013
6: Toa mwaka uliozaliwa...
7: Namba mbili za mwanzo ni saizi ya kiatu na namba mbili za mwisho ni miaka yako.
Waliokimbia hesabu hapa lazima wapite
Tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe tehe
Chukua 4m kaka ujaze kasomee ualimu tena hesabu,mana nime hakiksha kweli ila chondechonde hii njia hcjekuwa ndo tumeshajisajili free mason.