Je, wajua?

Hii hapa ajali ya kwanza mbaya kabisa kuwahi kutokea duniani, iliwahi kusababishwa na mawasiliano, neno liliwahi kusikika vibaya na hivyo kila pilot kumsikia muongoza kuwa amemruhusu

Hali ya hewa nayo ilikuwa mbaya, nayo pia vile vile ilichangia


View: https://www.youtube.com/watch?v=La6mNWbOXMc&pp=ygUnRGVhZGllc3QgY3Jhc2ggaW4gYXZpYXRpb24gIGhpc3RvcnkgS0xN

Other sources:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…