Weka makala ulipotolea hii kitu Kisha unitagni psychological research sio wenge
Ngoja nimfosi wangu maana hana mzuka kabisa na mambo ya tamthiliya,halafu ntaleta mrejesho...Habari za jioni wazee wenzangu na vijana,
Kwa wale wakongwe kwenye mahusiano, umeshawahi kugundua kuwa siku mkeo/mpenzi akiwa anaangalia au ameangalia movie au tamthilia, halafu akawa amemuelewa character fulani humo ndani (wa kiume), huwa ni ngumu sana baadae (ya hiyo siku) kukupa haki yako?
Kama hujagundua hilo mpaka sasahivi, jaribu kuchunguza utanipa mrejesho.
Huwezi kuwa source wakati umefanya utafiti kwa mkeo peke yako. Hata kama ni wanawake 200 uliyokuwa nao Bado haitoshi kugeneralizeMimi ndio source. Next question?
usituletee utafiti uliokaa kiupinde wa mvua hapa.. hasira zako za kunyimwa unyumba usizifanye kuwa umebobea kwenye research.Uwe unasoma vizuri kwanza na kuelewa. Maana umekazana kubishana kitu ambacho hujakielewa bado!
usituletee utafiti uliokaa kiupinde wa mvua hapa.. hasira zako za kunyimwa unyumba usizifanye kuwa umebobea kwenye research.
uliokuja mbiombio ukitegemea wote tutasupport upumbavu wako humu. Hakuna unachokijua, kama umeanzisha Uzi Ili upate likes sawa lakini hakuna mantiki yoyote sababu ya sample moja tu ya mkeo.
Nani dogo? Ili uniite dogo nikubali labda unipe kibox manyoyaMbona kama umepanic? Kwanini unatukana? Kama hii thread hai.make sense kwako unaweza ku move on tu. Ni findings zangu nimezi.share na wadau, kama kwako sio kweli una downvote then una move on.
Halafu tuliza mawenge dogo, ndio maana unaparamia mademu wanaojiuza telegram halafu unakuja kulialia huku ulitaka kuoa, bata wahed!
Nailed itTatizo wanaume tupo obsessed sana na sex yaani mimi katika vitu ambavyo sibembelezi kwa demu ni utelezi akizingua kila mtu anachukua hamsini zake wanawake mbona wapo wengi wazee mwisho demu anakuona fala