Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 766
- 1,536
Ndio mnyama mkubwa dunianiDuh, Dinosars,, ndo wanyama gani?
Nadhani atakuwa anatumia hisia sidhani kama ana macho ya kuona.Huenda anatembea kwa hisia ya zile antena
Hao ni aina ya Mijusi wakubwa walikuwepo karne zilizopita,ndiye aliyesadikiwa kuwa ni kiumbe mkubwa sana kuliko huyu Mnyama Tembo.Upo sahihi,Tembo ni mnyama mkubwa,lakini alikiwepo kiumbe mkubwa kuliko.Na Tanzania tunayo Mabaki yake ambayo yamehifadhiwa huko ujerumaniMnyama mkubwa ni tembo kwa upande wa nchi kavu au
wapo CCMDuh, Dinosars,, ndo wanyama gani?
HahahahaMoja ya wadudu wanaobeba Siri nyingi,hasa wale wa vyoo vya uswahilini..
Inawezekana mkuu..Unaambiwa et anaweza ishi miezi 3 bila msosi. Hii imekaaje