Habari za muda huu wana JF...
Niende kwenye mada tuu kwamba

Lazima ujue na kutambua kwamba kuna mstari mdogo kabisa kati ya umaskini na utajiri ambao unatenganishwa na kitu kimoja kinaitwa "NADHIRI "

Yaani kwa sisi ambao tunafanya biashara ndogondogo lazima ujue hii kitu kwamba lazima uweke plan kitchen kutoka moyoni mwako kuwa nataka kufanya jambo lolote kwa mda fulani ndani ya kipindi fulani...

My friend hapa lazima utoke tuu

Ukifanya kwa moyo wa dhati kabisa
Lazima ukipate unachotaka

Weka NADHIRI kwamba nataka kupata mtaji kiasi fulani basi akili yako lazima ifanye kazi kweli

Jingine...kuna ile janjajanja kama vile sie (wapare) watu huwa wanatania kuwa tupo wachoyo (jokes)...
Lazima uwe mjanja kama dalali kaona nyumba inauzwa aiseee...


Lazima uwe mtu wa mipango yaani mishemishe za msingi sana ambazo utaingiza kitu fulani...

Lazima usome upepo...
Mwenendo wa biashara aisee..
Hapa wengi ndio wanafeli
Unakuta mtu alivyo tuu anafaa kuuza duka kwa mangi ila yeye anataka kufanya udalali kisa tuu unalipa my friend you are lost... hakuna biashara isiyolipa ila wewe upo kwenye biashara ambayo sio size yako chief

Tafuta biashara ambayo utaweza mudu sio tuu watu wengi wanafanya na inalipa

Never ever you are lost my friend ...

Nakumbia tena ujue tuu usione watu wamejenga hotel au apartments kubwa na nzuri waliweka NADHIRI ndani ya mioyo yao...

Weka target
Weka plan

Ambazo utafanya wewe mwenyewe bila ya uoga.....

Watu wengi hawana target wala achieved plan hapo ndipo wanakwama...

Tafuta marafiki ambao wataku support kwa namna moja au nyingine...
Ukiona vipi hama hata wilaya au mkoa amia kwingine...

Usishawahi jiuliza kuhusu wahindi na waarabu kwanini wanakuja Africa hasa bongo land hii kwa sababu kibadilisha mazingira ya utafutaji na kuangalia fursa mpya...

Unakuta mtu yupo mkoa mmoja tangu azaliwe mpaka kumaliza chuo..
Unafikiri utafanikiwa la hasha jichanganye na wadau kanda zingine


Utatoka tuu....

Karibuni wadau
 
Kwa mpare kama wewe itakusaidia nini hata ukitoka kwa ubahiri mlokua nao. Sijaona tofauti ya mpare tajiri na mpare maskini.....wote kande kwa kwenda mbele. Mkibadilisha ni vile visamaki vyenu vikavu sijui hata mnavitoaga wapi
 
Kwa mpare kama wewe itakusaidia nini hata ukitoka kwa ubahiri mlokua nao. Sijaona tofauti ya mpare tajiri na mpare maskini.....wote kande kwa kwenda mbele. Mkibadilisha ni vile visamaki vyenu vikavu sijui hata mnavitoaga wapi
😂😂😂😂😂mkuu unamtania au ndo kumpa kwel yake?maana tunaoruhusiwa kuwatania n cc jiran zao tu
 
Back
Top Bottom