Uliwahi kumfanananisha kitimoto na mnyama gani!? Basi leo katika je wajua! Kitimoto ukimwangalia kwa umakini halafu ukamkuza popo ukamtoa mabawa utagundua popo anafanana vibaya mno na kitimoto.
Atamimi ni swahiba kwa braza kitimoto ila kumfananisha sura sio mbaya. Wangapi huwa tunafananishwa au kumfananisha mshikaji? Tena kuna wakati unakuta unafananishwa na jamaa ugly face baraaaa